Aisee ni nani anasema SUA hakina umaarufu? M naona hujui tu! Kozi zinazopatikana pale ni hotcake kwa sasa na ndio chuo kwa sasa kinaongoza foreigners ku graduate pale fanya utafiti ndio uongee m cjasoma pale ila nilienda kufanya utalii wa ndani pale Apopo, aisee wapo juu. Namkumbuka prof. SWAi...
Aisee kipindi hiki ni soo kwa ndege, wanyama na hata binadam kwa ujumla tunakufa sana m nahic wakati cc tunawinda ndege na wanyama wengine ili tufaidi ckukuu naamin kuna viumbe vingine wanatuwinda ili watufaidi ckukuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.