Recent content by Subirambilinyi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ni magumu. Yamenifika kooni naomba ushauri

    Hata mimi nimepitia uzoefu wa aina hii, mimi ilinitokea tu mama hakuwa ananipenda, tumezaliwa watoto 8 na mimi ni mtoto wa tatu na wote baba mmoja na mama mmoja, nilikuwa naumia sana maana hata nikifaulu mitihani shule bado mama alinikatisha tamaa. Nilipoona hakuna jema analoliona kwangu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

    Lipo upande mwingine na linafanya kazi vizuri, huyu mpiga picha ni mchawi.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali inawajua Wachina kama niwajuavyo mimi? Kuliko kuwashobokea tungeelimisha watu wetu

    Watu wetu ni shida na viongozi wetu ni shida zaidi kwa sababu ya mifumo yetu, kuna sehemu mchina kanunua ardhi na mikataba yote kabeba na watu wetu walipopewa hewa wao mikataba hawakuhitaji tena, pia watu wetu wa OSHA, IMMIGRATION, TRA, POLICE, FIRE DEPARTMENT, LABOUR OFFICE NK wanapenda sana...
Back
Top Bottom