Recent content by STUDY NAMI

  1. STUDY NAMI

    Nataka nianze kula mjani

    Hakika watu wengi wanavuta bangi lakin sio wavuta bangi au kuna mtu anapinga? Iko hivi ukipita maeneo ukahisi harufu ya bangi tayari umevuta
  2. STUDY NAMI

    Nataka nianze kula mjani

    Hivi kwanin wavuta bangi wanatembea kwa kuruka
  3. STUDY NAMI

    Nataka nianze kula mjani

    Nikutaka kusema kuna kichwa ngumu za kuhimili ganja au
  4. STUDY NAMI

    Nilikuwa napiga stori na masai

    Ulikutana na masai mjanja
  5. STUDY NAMI

    Nataka nianze kula mjani

    Nakusihi ata usijarbu vuta, I remember the first time nilijarbu kuanza kwa kunusa kwa washkaji, nikiwa class five, baadae nikaamua kuvuta. Sas hapo ndio nilijua bange si chai, kwani nilirudi nyumbani nikaingia jikon direct, nikakuta msosi nikaona niwangu wote, kucheki hamna mtu karbu...
  6. STUDY NAMI

    SoC01 Kijana, jiepushe na matumizi ya pombe kupita kiasi na dawa za kulevya. Jamii yako inakuhitaji!

    Ukila ujana, uzee wako utakuwa unategemea huruma ya watu wengine ili uweze kuishi vyema
  7. STUDY NAMI

    SoC01 Kijana, jiepushe na matumizi ya pombe kupita kiasi na dawa za kulevya. Jamii yako inakuhitaji!

    Habari mpendwa msomaji wa kiunzi hiki... Ni kauli iliyojengeka inayosema kwamba "Maisha ni mafupi acha nile ujana" hususani kwa vijana ambao ni chipukizi wakiwa kati ya umri wa kuanzia miaka 20 hadi 30. Lakini majuto huwapata pale wanapotimiza miaka 30 na kuendelea na kujikuta hakuna jambo la...
Back
Top Bottom