Wana Jf mmeona mambo ya wanawakelive jamani huyu mdada analeta mambo mapya kabisa mmeona PROMO pale star tv huku NDOANÕ, mara DADA JIJUE,mara BONGO MOVIE Mnaonaje ndugu zangu...!
Nina miaka 24 nimemaliza mwaka jana kozi ya Asasi za Siasa na tawala za jamii UDSM, natafuta kazi inayoendana na kozi iyo au ya masuala ya computer, sifa zangu ni uaminifu, na kujituma ambae ana nafasi iyo atume namba yake asanteni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.