Recent content by stronger001

  1. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ijayo siasa za Tanzania zinaweza kuamuliwa na Wasukuma kama ilivyo wakikuyu Kenya

    Hawa jamaa ni wengi na bado wanazaliana kama siafu Kisiasa inawapa advantages ya kiutawala yani wanaweza kuamua Rais awe nani Wakiamua kuitoa CCM madarakani itakua kazi rahisi sana. Ponapona ya CCM ni kutoruhusu upinzani utie kambi mikoa husika vinginevyo itabaki story Siasa za Kenya huwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuna shimo la Taka, kisha kuna takataka zimelizunguka Shimo

    mafumbo na hadithi za kijinga jinga kama hizi hazina nafasi humu 2025
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    tunahitaji wanaume jasiri watakaosimama kidete kukataa na kupinga ushoga hadharani bila woga au aibu yeyote
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    yawwzekana ukawa na vimilea vya kishoga au ndo wewe mlengwa. au vyote kwa pamoja
  5. S

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    kuna uhusiano wa moja kwa moja na kuongezeka kwa mashoga na mila za pwani vigoma nankutunzana saivi wanaenda mbali sana hadi wanashona sare kama dada zao ,huku wanacheza taarabu na kutunzana mbagala temeke tandika ni hakufai
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Mbowe kuchagua Heshima au Tamaa?

    mnatafuta huruma kwa mbowe mbowe ni jabal la kisiasa ajitokeze kama nani sass
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Mbowe kuchagua Heshima au Tamaa?

    huu ni ujinga kumlaumu mbowe kwenye kila angle bila kua na ushahidi mbowe alikua mwenyekiti baada uchaguzi akashindwa akakaa pembeni lakini watu wanambebesha lawama. uhalisia ni kwamba hata kama mbowe angekua mstari wa mbele bado wangemsakama kwa kusema bado anatawala chama .
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rasmi Walimu waingia kwenye kundi la wenye kima cha chini cha mshahara Tanzania

    iyo ipo waz hawa 370k sasa take home itarange 420k ---450k. kihesabu difference na mishahara ya walimu wanaoanza kazi ni ndogo mno
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rasmi Walimu waingia kwenye kundi la wenye kima cha chini cha mshahara Tanzania

    daraja la mwisho la mshahara yani wale wenye mishahara duni ndilo limeongezewa hio 35%
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rasmi Walimu waingia kwenye kundi la wenye kima cha chini cha mshahara Tanzania

    Baada ya Rais Samia kutangaza kuongeza mshahara kwa 35% kwa wale wenye kima cha chini ambapo hapo awali kima cha chini kilikuwa 370k Kwa maana hiyo 370k imejump hadi 500k. ambao ndio mshahara wa walimu wengi . Unakuta Mwalimu yupo Kwimba ndani ndani huko shule inawanafunzi 1,000+ form one...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Shilling 20 ya Tanzania ni sawa na Ksh 1 na Uganda sh 0.8 hii kisiasa na kiuchumi imekaaje?

    captain bi chura kiziwi kizimkaz anazid kuzamisha jahazi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Namna sura au muonekano wa mtu unavyosaidia kukamata suspects /watuhumiwa ikiwa hakuna ushahidi wa wazi

    sio kutunga ni ukweli mambo ya uchunguzi au upelelezi ya jinai yanavituko mno
  13. S

    JamiiForums Tanzania Namna sura au muonekano wa mtu unavyosaidia kukamata suspects /watuhumiwa ikiwa hakuna ushahidi wa wazi

    upo sahihi pia kwenye kesi za uhalifu mfano fujo ,mauwaji mwanaume ukiwa na kitambi na unavaa suruali za cotton mara nyingi wanakua least suspects wanaamini hakuna muhuni mwenye kitambi na kuvaa suruali za kitambaa. ila kama ni issues za upigaji pesa ,rushwa kazi unayo
Back
Top Bottom