Recent content by strong star

  1. S

    Madhara ya kujichubua na kujiklimu kwa wanawake na adhari zake

    Wadada wengi wa bara la Afrika asili yao ni ngozi nyeusi yenye kungaaa sana almaaluf " chocolate colour " Lakini kutokanana maendeleo ya sayansi na teknolojia waafrika wengi hujikuta wakitamani rangi sawasawa na watu wa ulaya ,Hivyo ni kutafuta njia mbali mbali nao kuwa weupe, kwa mfano mkologo...
  2. S

    SoC01 Nguzo muhimu kwa familia bora na imara ili kuleta maendeleo

    Mwanzo wa siku uanzia asubuhi na mapema ambapo jua uchomoza, Mpambanaji anaamka ndani ya familia yake tayari kuianza siku mpya yenye mipango na matalajio mengi. Ukiwa mwenye kiu na chachu ya mafanikio yakupasa uwe na Familia bora na imara kwani hao wanafamilia ndio wa kwanza kukutana nao na...
  3. S

    SoC01 Mbinu bora za kujikomboa kiuchumi na kibiashara ili kujiletea maendeleo

    Moja kati ya vitu mahimu sana katika kuinua uchumi wa inchi pamoja na kuleta maendeleo kuanzia kwa mtu mmoja mmoja adi kwa taifa ni biashara, kuna biashara za aina nyingi nyingi kama vile maduka ya vyakula, magenge, nakadhalika. Kila biashara unayoiona, kuijua au kuimiliki usije kamwe...
  4. S

    SoC01 Mbinu bora za kujikomboa kiuchumi na kibiashara

    Moja kati ya vitu muhimu sana katika kuinua uchumi wa nchi pamoja na kuleta maendeleo kuanzia kwa mtu mmoja mmoja adi kwa taifa ni biashara, kuna biashara za aina nyingi nyingi kama vile maduka ya vyakula, magenge, na kadhalika. Kila biashara unayoiona, kuijua au kuimiliki usije kamwe...
  5. S

    Changamoto wanazopitia wasaidizi wa kazi majumbani

    kweli kabisa ndugu, mzuri nenda nae mbaya mtue tafuta mwingine wa kufanana nae.
  6. S

    Changamoto ya takataka na mbinu bora ya kuziondoa na kuweka mji katika hali ya usafi .

    Katika maisha yetu ya kila siku ,binadamu hujikuta akizalisha takataka ( uchafu ) mwingi kila siku ili kukidhi maitaji yake, Hivyo basi kujikuta katika wimbi la uchafuzi wa mazingira. Ambapo athari zake ni kama vile magonjwa ya mlipuko,ajari nakathalika. Leo tunaenda kuona namna ambavyo maisha...
  7. S

    Changamoto wanazopitia wasaidizi wa kazi majumbani

    Kweli kabisa ya nini mtesane ,muishi bila amani ?, Au kwa kuchukiana ?, Ukimshindwa muache aendelee na maisha yake ,wewe tafuta mwingine maisha yaendelee kwa furaha zote.
  8. S

    Unawajua wauza chakula almaarufu "mama ntilie"?

    Daaaaaaaah shukrani sana na Mungu abariki sana kazi ya mikono yako.
  9. S

    SoC01 Njia na malezi bora kuelekea kutimia kwa ndoto za walio wengi

    Je, wangapi unawajua wametimiza ndoto zao '?, Na wewe kama wewe ulishiliki vipi kuzitimiza '? ,Na pia ni wangapi unawafaham hawajatimiza ndoto zao na wameshakata tamaa katika kutimia kwa ndoto hizo '?, Na ni wangapi mpaka leo bado wanapambana ili kufikia na kutimia kwa ndoto zao ,na wewe...
  10. S

    Unawajua wauza chakula almaarufu "mama ntilie"?

    Duuuuh hatari Wengine ata hawatupi lishe wanatupa makapi tu ,! Wanakaanga sana .
  11. S

    Changamoto wanazopitia wasaidizi wa kazi majumbani

    Ni vizuri sana ata yeye atafanya kazi yao kwa raha na umoja ,mtaishi kwa amani sana ,! Kila la kheli endelea vivo hivyo.
  12. S

    Changamoto wanazopitia wasaidizi wa kazi majumbani

    Uko vizuri sana ndugu na ubarikiwe sana sana !
Back
Top Bottom