Recent content by strong peason

  1. strong peason

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Ulieandka hii thread Nina wacwac na wewe,but 1.yupo sahh kwa % 100 ,2 hii nchi imeoza il iwe saf lazma awadharirishe
  2. strong peason

    JamiiForums Tanzania Balozi Sefue Ombeni, jipime na ustaafu kwa manufaa ya Umma

    Mreta Uzi kabla y a yote jua haya 1.huez kupinga maamz ya boss wako other wise uwe hutak kaz 2.kna ki2 kinaitwa kunyumbulika kulingana na hali 3..katib mkuu kiongoz bwana omben sefue ni mchapa kaz na muajibikaj ni was was wako 2.
  3. strong peason

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mnaotaka kuoa

    Wazo zur but how,,???
  4. strong peason

    JamiiForums Tanzania Hapa kazi tu: Tutalia na kusaga meno, a short time to come

    Naungana na rais J PM kwa 100%.watumishi wa umma wamejisahau xana na kugeuza ofc kama vyumba vyao bnafc , na unawezaje kwenda likizo wakat wanainch wanaandamwa na matatzo ,Wazir mkuu&rais walishaxema mda wa watumish wazembe umekuisha kama VP wajipime, wajitathimin ukiona huez acha maana watu...
  5. strong peason

    JamiiForums Tanzania Ni zipi hasa kazi za Waziri Mkuu wa Tanzania?

    Hata wilayani mfano, katibu tawala, mkurugenzi, mkuu wa wilaya
  6. strong peason

    JamiiForums Tanzania Serious: Natafuta mwanamke aliyenizidi umri

    Hv mkuu, unajipenda? Ni bora uende kanisan au msikitini but hum jf, duuuuuu Hamna ki2
  7. strong peason

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea I T V.duuuu

    Ndug wanajamvi , kna mdaharo ITV but kna wasom siwaelew but heb tufatirie sote........
  8. strong peason

    JamiiForums Tanzania Special thread: Ujinga ni?

    Ujinga ni kuhonga mchepuko wakat nyumban Hamna hata pesa ya mboga
  9. strong peason

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunamsifia Magufuli kwa kuvamia maofisini?

    Yaaan ww, cjui una Elim gan,,,,,,, bnafc akri zako zipo nusu. Mda uliopoteza kuandka hii thready ungelala ukue
  10. strong peason

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Kikwete ulikosea sana na sijui tukueleweje

    Duuuuuu. We ni kilaza kwer. Kwa hyo swala la Aman cyo la mcng
  11. strong peason

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wizara ya Fedha na Muhimbili, Wafuatao ni...

    Bnafc aanze 1.bandari,2.bodi ya mikopo ya erim ya juu 3. TRA yaan hapo kna madudu
  12. strong peason

    JamiiForums Tanzania Lowassa Alala kwenye Msiba, hii ni ishara ya dharau kwa wafiwa

    Cyo dharau but anachoka
  13. strong peason

    JamiiForums Tanzania Mwalimu binafsi anahitajika

    Ila jamii forum mnaskitisha Sana, heb mnisaidie, m nimeandka uz from no were anatoka ucngzin ananijib et upeo wang wa kufikr ni mdogo,,,, nimekusamehe bule
  14. strong peason

    JamiiForums Tanzania Mwalimu binafsi anahitajika

    Kama kichwa cha habari kilivyo hapo, mwenye taaluma ya saikolojia na ana uwezo wa kufundisha. Atafundisha watu wawil tu.
  15. strong peason

    JamiiForums Tanzania Mke anahitajika

    Hahahah, jf nawakubar na nawapenda
Back
Top Bottom