Wakubwa Wa Dunia hii wakishasema inabidi Uwe na Akili na Busara Ukijifanya Jeuri Itakula Kwako Iran Imekula Kwake Ndio Mwisho wa Enzi Yake Kusumbua Mashariki ya kati
Ukifatilia Mikataba ya Dunia Kuhus Silaha za Maangamizi inasema Kwamba Hakuna Nchi Yoyte Inayoruhusiwa kutengeneza Silaha hizo wala Kuzisambaza kwa nchi Nyingine Nchi zilizo Kuwa Nazo Zibaki Nazo hizo hizo Na nchi ni Chache tuu ,US,Russia, UK,France, North Korea, India,na Pakistan hizo Nchi...
Unapigwa kwako alafu Unasema ntajibu kwa Wakati wake Ukitaka Kujua Kuna Watu Wamejipanga Gusa Nchi zao Mfano,UK, Germany, France, China ,US, Israel, Nato Yote, ,Korea zote Mbili , Russia, Hizo Sehem Ukigusa umegusa Moto / Iran bado Sanaa
Njoo Vijijini huku mzee vitu natural safi Vinakula dona, kuku wa kienyeji, maboga,ukipewa kazi unatakiwa ufanye kazi sio unashika shika alf unaacha wanapigwa Vibao vya Uso na Dalasa unapewa Mjin huko Joto linawatesa Usiwalaumu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.