Recent content by Stretcher

  1. S

    Utumishi Kupeleka Interview Dodoma ni kuwanyima watoto wa masikini nafasi ya kushiriki

    Mimi mwenyewe nilijiuliza nauli ya kwenda Arusha na kurudi elf 50 hapo hujala hujalala guest nafasi za ajira mbili mko 80 si nikaachana na biashara hiyo niliona ni hasara sana kwa mtu alie na wazazi masikini haswa wakulima, suala hili lingefanyiwa research namna ya kuwa na ukweli kwa msaili na...
  2. S

    Shirika gani au Taasisi gani inayolipa vizuri.

    Niombe ajira shirika gani au Taasisi gani inayolipa vizuri na wanatoa matangazo mara kwa mara ya procurement.
  3. S

    Taasisi au Mamlaka gani wanajihusisha na ajira wao wenyewe bila kupeleka tangazo la ajira sekretarieti ya ajira?

    Habari wana jf, Hivi ni taasisi au mamlaka gani wanajihusisha na ajira wao wenyewe bila kupeleka tangazo la ajira sekretarieti ya ajira?
  4. S

    Mamlaka za ajira nchini ni zipi ukiacha sekretarieti ya ajira?

    Habari naomba kufahamu mamlaka za ajira nchini ni zipi ukiacha sekretarieti ya ajira?
  5. S

    Hivi PSRS mnasubiri nini kutoa shortlists ya hizi taasisi TRA, NAOT, HESLB na MDs & Local government?

    Unatetea wanyonge walioko vijijini wasio na nauli za nenda rudi za interview nauli tu ya kuungaunga akienda mara moja anaomba Mungu apite maana ikija interview nyingine pengine hatokuwa na nauli ya kwenda tena. Umefanya vyema kukumbushia.
  6. S

    Hivi PSRS mnasubiri nini kutoa shortlists ya hizi taasisi TRA, NAOT, HESLB na MDs & Local government?

    Muda tatizo watu wako kitaa miaka kumi hadi zaidi ajira ishu wengine wamebakiza miaka 15 wastaafu na ajira bado.
  7. S

    Hivi PSRS mnasubiri nini kutoa shortlists ya hizi taasisi TRA, NAOT, HESLB na MDs & Local government?

    Mimi mwenyewe niliomba mdas na LGA's lakn mpaka leo haku a cha interview, kumbe tuko wengi, labda watatusikia liomba mdas na LGA's kila nikiomba angalia mtandaoni sioni kuitwa kwa interview wala nini pi
  8. S

    Hivi hakuna njia nyingine tofauti na saili za aina hii ya sasa kwenye soko la ajira za Serikali?

    Mimi Mimi ninavyoona wangefanya usaili kwa mfumo wa FIFO kuliko kumix waliohitimu mwaka huu ns waliohitimu miaka kumi au zaidi wanaaminije kuwa wote watakuwa na kumbukumbu sawa japokuea wote wanna kiwango sawa cha elimu mtu yuko kijijini anajishughulisha na kilimo takribani miaka kumi atakuwa...
  9. S

    Waliomba ajira ktk tangazo la MDA's na LGA's lililotoka PSRS.

    Habari, Kuna tangazo lilitoka la MDA's na LGA's muda kama mwezi na kitu hv nami niliomba lakini mpaka leo sijaona tangazo la kuita kwenye usaili toka PSRS. Je Kuna mtu aliona tangazo la usaili juu ya tangazo hilo au ana maelezo zaidi tafadhali.?
  10. S

    Naomba mawasiliano ya Poshocity

    Habarini wadau, nimeshauriwa through media hii nimtafute Poshocity ili aweze kunipa ushauri juu ya suala langu la kiserikali kulingana na yeye kuwa na uzoefu/ kupitia changamoto kama nilizopitia. Nimemtafuta kupitia njia hii sijapata mawasiliano yake. Tafadhali sana naomba mnisaidie kama Kuna...
  11. S

    Alierejeshwa upya kazini through PSRS

    Wadau habari za jioni, alieajiriwa upya kupitia sekretarieti ya ajira tuwasiliane tafadhali namba yangu 0786601598; Kuna ishu nahitaji nimshirikishe.
  12. S

    Kibali cha kuomba tena kazi utumishi

    Nisaidie Mimi kwa ushauri Nina barua toka kwa katibu mkuu Utumishi baada ya kunipa kibali katibu mkuu kiongozi cha kuajiriwa nimeambiwa na katibu mkuu Utumishi niombe sekretarieti ya ajira au mamlaka yoyote inayojihusisha na ajira serikalini nipangiwe kituo cha kazi je Utumishi watafahamu vipi...
  13. S

    Kibali cha kuomba tena kazi utumishi

    Nisaidie Mimi kwa ushauri Nina barua toka kwa katibu mkuu Utumishi baada ya kunipa kibali katibu mkuu kiongozi cha kuajiriwa nimeambiwa niombe sekretarieti ya ajira nipangiwe kituo cha kazi je Utumishi watafahamu vipi nimeomba kazi fulani sekretarieti ya ajira. Namba yangu ya Whatsapp 0624162318.
  14. S

    Napokea mshahari ngazi ya TGS D naishi kijijini naona fedha hiyo hainikidhi kabisa mahitaji yangu.

    Nisaidie Mimi kwa ushauri Nina barua toka kwa katibu mkuu Utumishi baada ya kunipa kibali katibu mkuu kiongozi cha kuajiriwa nimeambiwa niombe sekretarieti ya ajira nipangiwe kituo cha kazi je Utumishi watafahamu vipi nimeomba kazi fulani sekretarieti ya ajira? Kwa the shu yako inategemea uko...
  15. S

    Kurejeshwa upya kazini

    Poa nashukuru kwa ushauri wako.
Back
Top Bottom