Recent content by Street Hustler

  1. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nina wasiwasi na uuzaji wa viwanja eneo la Malalua-Mlangalini, Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

    Viwanja vimeisha tar 3 saa tatu asubuh hyo n kauli kutoka kwa afizaa ardhi pale jengo la mkuu wa wilaya Arusha kote juu na chini Swali inawezekanaje mtu alipie 25% bila kujua ukubwa wa eneo analotaka? White elephant project hii itakuwa kama Ile ya uwanja wa mpira wanunuzi n walewale alafu...
  2. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nina wasiwasi na uuzaji wa viwanja eneo la Malalua-Mlangalini, Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

    No debt maana hudaiwi hvyo unaweza endelea na hatua inayofuata baada ya kuchagua kiwanja wanakupa kiasi ambacho inatakiwa kulipwa na control namba yake kama hutolipa utakuwa unaona den kwenye profile yako
  3. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nina wasiwasi na uuzaji wa viwanja eneo la Malalua-Mlangalini, Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

    Kifupi naskia ni sold out chap kwa haraka. Sasa najiuliza Jana ndio fomu ziliaza kutoka mwisho baada ya 14days unalipaje 25% bila kujua eneo ni kubwa kias gan serikali ilileta tausi Ili kuraisisha na kumakinisha malipo Sasa kwann wizara wameiataa tausi. Eneo la mradi linauzwa ghali kuliko...
  4. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ubungo–Msewe bado tunanunua ndoo ya maji Sh 1,300 hadi 1,500

    Fursa hyo kijana tafuta gutha l kukodi nunua boza/tank/pipa/madumu jaza maji ingia msewe upige pesa
  5. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Nyama choma ipi Nzuri Tanzania ,Kwa mromboo Arusha Vs Msalato Dodoma?

    Tanzania nzima Arusha ndio Kuna nyama choma ilasio kwa morombo
  6. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tangazo kwa wanaohitaji visimbuzi vya Canal+ Sports

    Nipe hicho king'amuz
  7. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta kuanzia Aprili 1, 2026: Petroli Dar imefikia TZS 3,820; Kagera ikigonga TZS 4,070. Dizeli ipo kati ya TZS 3,806 - 4,078

    Sasahv watajua kuwa ule ni ujinga na uhauni walikuwa wanafanya
  8. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta kuanzia Aprili 1, 2026: Petroli Dar imefikia TZS 3,820; Kagera ikigonga TZS 4,070. Dizeli ipo kati ya TZS 3,806 - 4,078

    Kama alialika watu wamchangie na wakachanga unategemea Nini? Mie naona effects za wale jamaa ndio zinaanza kuonekana the next 2. Umeme kukatika hovyo na kupanda 3. Gas kupanda japo tunayohapahapa nchini 4. Maji kuwa n shida hasa kwenye miji mikubwa Hapo Bei za chakula na usafirishaj...
  9. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta kuanzia Aprili 1, 2026: Petroli Dar imefikia TZS 3,820; Kagera ikigonga TZS 4,070. Dizeli ipo kati ya TZS 3,806 - 4,078

    Hyo n nature ya biashara ndio mana ukiwa kiongozi hakikisha usifanye mistake kwenye jambo Moja ambalo litagharimu mambo yote muhimu yawe vibaya. Hapa ndio umuhimu wa kura Yako ndio unaonekana
  10. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Rasmi mafuta yamepanda hadi sh 3800

    Kama Rais anatangaza mafuta yatapanda Bei ikiwa hata vita Iran haina 10days vipi ikifika 30days? Uzuri mambo kama haya yanaenda kuwaunganisha pamoja watanzania. Nauli daladala kituo had kituo inaenda kuwa 1,000/= mpaka 1,200/= Nauli mwanza - dar kawaida 100,000/= Nauli Dar - Arusha 60,000/=...
  11. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta kuanzia Aprili 1, 2026: Petroli Dar imefikia TZS 3,820; Kagera ikigonga TZS 4,070. Dizeli ipo kati ya TZS 3,806 - 4,078

    Kama Rais anatangaza mafuta yatapanda Bei ikiwa hata vita Iran haina 10days vipi ikifika 30days? Uzuri mambo kama haya yanaenda kuwaunganisha pamoja watanzania. Nauli daladala kituo had kituo inaenda kuwa 1,000/= mpaka 1,200/= Nauli mwanza - dar kawaida 100,000/= Nauli Dar - Arusha 60,000/=...
  12. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Jenista Joakim Mhagama

    Mtoa mada kaanza na majina uliyoyasema tunaendelea kuunganisha maneno
  13. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Jenista Joakim Mhagama

    Kamtandao kumbe
  14. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Jenista Joakim Mhagama

    Kumekucha
  15. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi

    Kitu ambacho CHADEMA hawaliangalii kwa umakini ni swala la mtandao na mtandao sio watu pekee Bali ni mjumuiko wa taasisi fulani mfano 1. Media Hapa lazima muwe na vyombo vya habari vya kwenu vyenye nguvu vinavyoweza kufikisha ujumbe wenu kwa wakati na ufasha 2. Watu wenye ushawishi na nguvu...
Back
Top Bottom