Recent content by Story Room

  1. Story Room

    Nitakuua Mwenyewe

    NITAKUUA MWENYEWE - 21 Sultan Uwezo "Ndiyo hivyo mzee sijui kaelekea wapi?" "Ninyi tuondokeni eneo nahisi harufu ya damu mwenzenu." Masanja aliwataka waondoke baada ya kijana waliyekuwa naye kutoweka. "Hili picha mbona silielewi hivi?" Mzee Jonathan aliuliza huku wakiondoka eneo hilo kurudi...
  2. Story Room

    Muuaji Mwenye Barakoa

    MUUAJI MWENYE BARAKOA - 30 Sultan Uwezo [emoji1241]+255 764 857 776(wsp) Catherine akaona ashuke kwenye gari na kujificha ili ajue askari huyu anamfuatilia kwa lengo gani. Alifunga mlango baada ya kushuka kisha akaingia uvunguni mwa gari na kutulia kimya akimsubiri adui yake huyo ambaye...
  3. Story Room

    Nitakuua Mwenyewe

    NITAKUUA MWENYEWE - 20 Sultan Uwezo +255764857776 "Kwa-ni-ni m-nat-ufa-nyia hiiiiviiiii?" Robinson aliongea kwa taabu sana kwani muda alikuwa akitokwa na damu kila sehemu ilipitiwa na mingumi ya wale majitu. "Tuk...o wap.." Jackline alishindwa kumalizia sentensi akazimia tena na alikuwa...
  4. Story Room

    Nitakuua mwenyewe

    NITAKUUA MWENYEWE - 19 Sultan Uwezo 0764857776 "Ninyi ni hatari aise yaani mke wangu mimi anayenifahamu mpaka alama iliyo kwenye utumbo leo hii hajanitambua? Maskini weee Dorothy wangu." Mzee Jonathan aliwamwagia sifa vijana waliobadili muonekano wake uliopelekea mpaka mke wake kumsahau...
  5. Story Room

    Nigusie tamthilia zetu za panguso, tandi na shilingi - 2

    Na mimi Sultan Uwezo. Ninapoizungumzia FILAMU YA NYARA siyo kwamba nimeiandaa mimi la hasha bali nimejaribu kuangalia utofauti uliopo kati yake na nyingine ambazo ambazo mhusika ni MASIKINI anayeishi kwenye jumba bovu huko kijijini lakini angalia nywele zake, hata mavazi yake utapigwa butwaa...
  6. Story Room

    Muuaji Mwenye Barakoa

    MUUAJI MWENYE BARAKOA - 29 Sultan Uwezo [emoji1241]+255 "Kwangu wewe ni sawa na Maadui wengine Catherine, kuna kitu ambacho ulikuwa hukijui bila shaka mama bibi yako hakuwahi kukueleza vizuri juu yangu. Mimi naitwa Malick Bolenge sina undugu hata chembe na koo yako tambua hilo. Miaka kadhaa...
  7. Story Room

    Nitakuua Mwenyewe

    NITAKUUA MWENYEWE - 18 Sultan Uwezo Contacts: 0764857776 Instagram: @sultanuwezo_ "Nimewaelewa vizuri sana na pia niwape pole kwa yote mliyopitia inawezekana ni mpango wa Mungu katika kuwafanya muweze kuwajua maadui zenu." "Asante mzee tunamshukuru kwa kutuelewa." Jasmine alishukuru. "Bila...
  8. Story Room

    Nitakuua Mwenyewe

    NITAKUUA MWENYEWE - 17 Sultan Uwezo Contacts: 0764857776 Baada ya masaa kadhaa waliwasili kwenye kambi moja ambayo ndani yake ilionekana kama kulikuwa na shughuli nyingi kama vile ni uzalishaji nguvu fulani au ni machimbo ya madini fulani hivi, kifupi lilikuwa ni eneo ambalo ni kama kambi...
  9. Story Room

    Nigusie tamthilia zetu za Panguso, Tandi na Shilingi

    Kwa sasa TASNIA ya UIGIZAJI imepiga hatua kubwa sana ukilinganisha na miaka kadhaa nyuma, japo changamoto bado ni nyingi siyo mbaya tutafika tu. Kuna mambo madogo madogo yanayotukwamisha kufikia malengo nayo ni UVIVU WA MA-LOCATION MANAGERS, MITAJI YA KUUNGAUNGA, KAZI ZOTE KUFANYWA NA MTU...
  10. Story Room

    Nitakuua Mwenyewe

    NITAKUUA MWENYEWE - 16 Sultan Uwezo Zoezi la kupita na gari ile kwenye tope liliweza kufanikiwa na safari iliweza kusonga mbele huku hofu ikitawala kwa kila mmoja kwani kwa muda huu walikuwa wakielekea Antonios pasipo kuwa na mwenyeji wa kuwaonesha baada ya dereva wa taxi ile kujidai mjuaji na...
  11. Story Room

    Nitakuua Mwenyewe

    NITAKUUA MWENYEWE - 15 Sultan Uwezo "Mbona fasta kuna nini Majaliwa?" Aliuliza kiongozi wao baada ya kumuona Majaliwa ambaye huigiza kama chizi mtaani kumbe ni shushu wa genge hili. "Nimewaona askari watatu wakiingia mtaani kwetu kiongozi tunatakiwa kuwa makini usiku huu." "Usihofu Majaliwa...
  12. Story Room

    Wafilipino waliocheza series iliyoitwa FOREVER MORE wako wapi?

    Hivi hawa Wafilipino waliocheza series iliyoitwa FOREVER MORE wako wapi? XANDER & AGNES WAZEE wa LA PRESA CITY Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Story Room

    Muuaji Mwenye Barakoa

    MUUAJI MWENYE BARAKOA - 28 Sultan Uwezo [emoji1241]+255 Jiji la Lagos lilikuwa limekumbwa na Taharuki iliyopelekea kila mtu kupatwa na hofu, hii ilikuja baada ya tukio la kutekwa kwa mmoja wa wanamichezo kutoka Lagos International University ambaye ni mtoto wa Otago Mathew aitwaye Jennifer...
  14. Story Room

    Muuaji Mwenye Barakoa

    MUUAJI MWENYE BARAKOA - 27 Sultan Uwezo [emoji1241]+255 Kuulizwa maswali mengi kulimfanya kijana huyu kuondoka sehemu hii akiamini kuwa kuelezea tukio hili kwa mtu asiyemfahamu ni kujitengenezea ushahidi mbele ya vyombo vya sheria. Lilifika gari maalum ambalo lilizichukua pikipiki zile na...
  15. Story Room

    Muuaji Mwenye Barakoa

    MUUAJI MWENYE BARAKOA - 26 Sultan Uwezo [emoji1241]+255 Pikipiki ilitia nanga ofisini kwa Martin, Kijana wa Kinigeria ambaye shughuli zake nchini Senegal ni wizi wa magari kutoka kila kona ya nchi na kuyauza nje ya nchi lakini pia hujishughulisha na kazi ya kukodisha magari na vifaa vingine vya...
Back
Top Bottom