Uzi ni mzuri sana ila Mimi naweza kuongezea eneo la vyakula vya kutumia kila ombi mtu analoliomba tusisahau baraka zote Zipo kwenye vyakula tunavyotumia
Huu utapeli gani unaofanyika kwa kiasi kubwa hivi mpaka mtu kumiliki Mali za mabilioni HALAFU hakamatwi Mimi naamini haya mambo ya Hela za manyoka yapo
Nimeota ndoto nipo napita mahali naona gari zenye rangi ya kijani zimepaki lakini ghafla nilitazama juu nikaona ndege wengi sana wa angani wakiwa wanazunguka juu ya yale magari
Hii ndoto unaweza kuwa inaashiria Nini.
Kwa kumbukumbu ni kama nilikuwa naziona gari za chama tawala CCM naziona gari...
Kuna Malaika walipokuwa wakitumwa duniani walikuwa wakitamani Wanawake wazuri hivyo wakaanza kujibadilisha kuvaa miili ya kibinadam na kuzaa na binadamu ndio kikatokea hicho kizazi Cha wanefili
Baraka ambazo Mungu alimbariki Isaka ni sababu ya agano aliloliweka na baba yake ibrahimu sisi wakristo agano letu ni damu Yesu uzao wa ibrahimu lakini nikuulize swali Kuna agano linalofanyika bila kutoa sadaka?
Yani unaweza kwenda kanisani ukaomba kubarikiwa bila kutoa sadaka?
Jibu hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.