Wewe age is just a number..........Kuna watu tuna miaka 37 lakini ukituona kama tuna miaka 20.Then haya ni maisha jua kuwa kila mtu Mungu anambariki kwa namna yake na kwa muda wake.Mfano Daudi Mungu alimfanya mfalme wa Israel wakati akiwa tu kijana mdogo na Mungu huyohuyo alimpa Sarah mtoto...
Habari wana JamiiForums,
Kuna mtu anifahamu hio kampuni "JOB JUNCTION"? Niliona wametuma kazi nikaaply, kufika wananiambia wao ni recruitment agency kazi yao ni kuwaunganisha wanaotafuta kazi na waajiri then ukipata kazi unawapa 30% ya mshahara wa kwanza.
Cha kushangaza et wanasema kuna...
Mi kazi yangu ya pili nilipata humuhumu jamii forum.Kuna mtu alipost kuna kampuni ilikua inatafuta mhasibu msaidizi aliweka tu namba. Nikaipiga ile namba nikapewa maelekezo kampuni ilipo nikaenda na vyeti vyangu nikafanyiwa interview nikapata kazi.
Habari wakuu
Naomba msaada mwenye kujua kama fao la kujitoa nssf lipo au ndo mpaka unitimize miaka 55....
Mtaani kugumu kama lipo tukachukue hizo hela tufanye hata biashara.
Habari wanajamii forum.Nimekuja jamvini natafuta kazi.naomba msaada kwa mtu yeyote ambae anafahamu sehemu ambapo kuna kazi maybe tupeane michongo..mana nimetuma application hadi nimechoka
Profession: Mhasibu
Level of Education: Advanced diploma in accountancy
Nilikua muajiriwa kwenye kampuni...
Wanajamii I hope mko poa, kwanza kabisa ningependa kuchukua fursa hii kutoa shukrani zangu kwa JAMII FORUM,jamani niliona tangazo la kazi humu kama masihara nikaaply nikapata.Thanks sana kwa hiki KIJIWE.Pili hapa nna mwezi kwenye hii kampuni nimejigundua ni mjamzito.So wanaJAMII swal langu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.