Recent content by stigma

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Ndioooooooooo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa Anatisha, Ashonesha Nguo za Gharama kabla ya Kuteuliwa

    Mleta mada akili zako zipo karne ya A.D na ufahamu wako ndio upo karne hii sasa lazma uchekeshe walionuna kwa kuwaza mambo ya kikoloni na kisultani kua hata kujishonea nguo uvae wewe mtumwa ni kosa. Kaoge ulale huko utupishe tunaojielewa katika Taifa letu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa Anatisha, Ashonesha Nguo za Gharama kabla ya Kuteuliwa

    Wewe mwenye IQ ya bata huku jamii forum alokufungulia account nadhani hakukujua kua. Huna IQ ya mwanadamu Ulichokiandika ni ----- matupu pole kwa waliokuzaa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa Anatisha, Ashonesha Nguo za Gharama kabla ya Kuteuliwa

    Na wewe kapimwe akili zako ukute hata una IQ ya bata kama sio ya mende
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa Anatisha, Ashonesha Nguo za Gharama kabla ya Kuteuliwa

    Wewe mleta mada ni ---- dunia nzima thibitisha kama hizo nguo ni LOWASSA ameshona Hovyoooo lione kwanza sura kama store ya mkaa Watu mmezidi sasa hapo imeandikwa team lowassa watu wamejishonea kwa mapenzi yao Mitanzania mingine sijui ilitanguliza makalio wakati inazaliwa Katibiwe minyoo huko
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya idadi ya wadhamini urais

    LOWASSA ndio chaguo La watanzania jamani Acha watu waumwe na roho hasa wapinzani wake ana wapiga tu kwa vitendo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

    Ahahahaaa lowasa ni safiiiiiiii miaka 8000
  8. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

    Hivi kwanini huwa humalizagi dozi za uchizi? U nadhani bila kumalizia dozi kichaa kitakupona? Ona sasa unaongea mambo ambayo hata hayapo mbaya zaidi huna hata elimu angalau kichaa ningekua balanced Go to school loosed ENL the President 2015
  9. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

    Huyu tpaul Katumwa na ibilisi amchafue LOWASSA ambapo hawajui kua Mungu ndie amemchagua kuliongoza Taifa La Tanzania Sasa wewe tpaul nakutuma kamwambie huyo shetani unaemwabudu kua EDWARD LOWASSA ni wa Mungu na ni wa watanzania. na hii ndio safari ya matumaini iliowekwa wakfu na Mungu mwenyewe
  10. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

    Siku zote maneno ya laana juu ya asiekua ma hatua Mungu huyageuza na kua Baraka LOWASSA ALIANZA NA MUNGU NA ANAMALIZA NA MINGU na hii ndio safari ya matumaini LOWASSA ndio Rais wa Tanzania huyu huyu msiemoenda ndio Rais.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

    Leteni ushahidi jamani mbona kila siku tuhuma tuuuuu no evidence Mtakufa midomo wazi kwa kumsema lowassa kwa mambo ya Uongo You dumb and dumbers
  12. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

    Kwani wanakuaga hata na evidence si wanakurupukaga tu Lowassa anawatetemesha hawaoni pakushika lazma wadate False accusation ndio akili walio nayo.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

    jaura Uongozi ni karma LOWASSA has been born to be a leader Mtaongea maneno yote lakini He is a true leader Suala La afya mgogoro ulimpima lini na wapi Lete vithibitisho kutoka huko ujerumani unaposema anatibiwa Unasema lowassa a nanunua makundi basi tunaomba utuambie ameyanunua kwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

    mkerewe Inaelekea wewe ndio msaidizi wa Mungu maana una uhakika kua Mungu hayupo pamoja na Edo Mnafki mkubwa wewe unamchukia mtu mpaka unakufuru Mungu unadhani Mungu ni mjomba wako watu wengine sijui ubongo wenu una funza? Kusoma hujui na picha nayo huoni? Hao walio pamoja na Mungu mbona...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

    Kacheki afya ya akili yako. Unafikiri kwa kutumia meno.
Back
Top Bottom