Recent content by STIDE

  1. S

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    so sad!!!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo 'Ageuka Mbogo' baada ya kukabidhi zawadi hewa Mei Mosi

    Tanzania HEWA!! Wafanyakazi HEWA walitoa zawadi HEWA kwa wafanyakzi HEWA kupitia kwa mkuu waliyedhani ni HEWA ili atoe zawadi HEWA kwa wafanyakazi HEWA!!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

    Lazima kuna ukakasi mahali...haiwezekani kwa kipindi chote hicho tena akiwa na 'refa' mzuri hadi mda huu hajafanyiwa salary review naye katulia tuu!!! #$#/*@*$
  4. S

    JamiiForums Tanzania I got it! Mheshimiwa Spika mnataka kutuloga!!?

    Duuhh!! Hii ni hatari kwa mtu mzima aisee!! Kuna siku nilimpa makavu humu akaja na mitusi kibao (muone sura kama andazi lililoungua)..nadhani wengi mnakumbuka maana mlicheka sana humu na kutubeza tulioiona kweli!!! Humu kuna watu huwa hatukurupuki kuandika na ndio maana comments zetu ni chache...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Upepo hawausomi!!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Mmeanza tena kama jana!! Hii propaganda hamuichoki??
  7. S

    JamiiForums Tanzania Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    Mkuu, huwa nakuheshiu sana humu jamvini kwa michango yako, japo Mama huyu anakosea(sina uhakika maana upotoshaji ni mwingi kipindi hiki) lakini usifikie hatua hii ya kumkejeri Dr!! Nakusihi kuchunguza maneno yako mara kadhaa kabla hujapost hasa ktk kipindi hiki kigumu kwa wana mageuzi!!!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Lowassa alijieleza kwetu tukamuelewa, pia wapo wengine wanakuja

    Sijui nicomment nini kwa jinsi nilivyosuuzika roho yangu kutokana na speech hii ya Dr!!!! Mola akujaalie sana Dr. Slaa!!!!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Hiivi CDM hatuna mtu maki mwene uwez wa kuwa RAIS?? Au ndo tumelewa sifa???
  10. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA kusaini mkataba na wananchi siku ya ufunguzi wa kampeini

    UKAWA hapa wamepiga bao lakisigino!!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA kusaini mkataba na wananchi siku ya ufunguzi wa kampeini

    Ccm wanalo mwaka huu!!!! Kama kweli UKAWA wakitoka na mbinu hii....basi ccm tuwaandalie sanda!!!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

    In Dr. Slaa I trust!!!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wauaji wa Albino wakamatwa Kahama

    Wanatekeleza amri ya chama tawala...hawatapelekwa popote!!!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndani ya Bukoba Mjini, kutoa mafunzo ya Uzalendo kwa Vijana

    Kazi ipo....big up makamanda
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Dr Slaa Morogoro na mkutano mkubwa wa hadhara

    Jamani picha ziko wapi wakuu??? Greenwich Mkuutunaomb update Tafahari!!!
Back
Top Bottom