Recent content by stewie

  1. stewie

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wazee, Isuzu Tipa iyo inauzwa .. 17.5m tu ipo bunju gari bado mbichi kabisa haijapiga kazi sana ... 0693225605
  2. stewie

    JamiiForums Tanzania ISUZU TIPA

    -ISUZU (ELF) INAUZWA -BEI 17,000,000 -GARI HAIJATUMIKA SANA IMEPAKIWA -HAINA TATIZO LOLOTE -Location Dar es salaam Bunju Call 0693225605 🔹DETAILS🔹 - Fuel : Diesel -Engine Capacity : 3630 -Class : inabeba hadi Tani 3.5 -Uzito wa gari : Tani 7 -Transmission : Manual
  3. stewie

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Isuzu {ELF} 1989 2WD Inauzwa

    unataka liuzwe kwa bei gani tajiri
  4. stewie

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Isuzu {ELF} 1989 2WD Inauzwa

    yah true
  5. stewie

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Isuzu {ELF} 1989 2WD Inauzwa

    mmh nini umeona nyoka mzee?
  6. stewie

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Isuzu {ELF} 1989 2WD Inauzwa

    ISUZU (ELF) INAUZWA BEI 27,000,000 GARI HAIJATUMIKA SANA IMEPAKIWA -HAINA TATIZO LOLOTE Location Dar es salaam Bunju Call 0693225605 [emoji843]DETAILS[emoji843] Fuel : Diesel Engine Capacity : 3630 Class : inabeba hadi Tani 3.5 Gross weight ya gari : Tani 7 Transmission : Manual 2 wheel drive...
  7. stewie

    JamiiForums Tanzania Landlord's shenanigans

    au sio, nakubali
  8. stewie

    JamiiForums Tanzania Landlord's shenanigans

    Ni kweli, ila mziki wa kuhama sio poa but life should go on!
  9. stewie

    JamiiForums Tanzania Landlord's shenanigans

    [emoji23]hakai hapa hata boss
  10. stewie

    JamiiForums Tanzania Landlord's shenanigans

    Imekaaje landlord kukuambia ataanza pokea rent ya mwaka badala ya miezi 6!? Mfano ni wewe how would you react !!
  11. stewie

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya Pads za kike

    deleted thread
  12. stewie

    JamiiForums Tanzania Bidhaa tofauti za watoto zinauzwa kwa bei rafiki

    hiyo ya kulisha mtoto bei poa tu huwezi logwa kisa buku 9 mwamba 😂
  13. stewie

    JamiiForums Tanzania Bidhaa tofauti za watoto zinauzwa kwa bei rafiki

    🔹Audio Card readers za watoto -: Hizi unachomeka kadi yenye pande mbili kisha inatamka hilo neno la kiingereza na pia hutoa milio ya wanyama, ndege nk -: Ina maneno zaidi ya 200 na inakaa na chaji na inakuja na usb yake ya kuchajia pia ina nyimbo ya alphabets Bei 28,000 Tsh 🔹Bidhaa ya pili ni...
  14. stewie

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    hata sokoni haijaingia ndo kwanza mkbhd ka review jana
  15. stewie

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google Pixel and Samsung used Dubai

    Kuna 3a xl mpya sealed kwa 390k tu... Kkoo utauziwa 3a xl used kwa 360k !!! , zinakaa na chatge sana, zina headphone jack, camera yake inatoa pics zenye mwanga zaidi, npigie mkuu 0693225605 location Sinza Lego ofisin
Back
Top Bottom