Recent content by stewart2

  1. S

    JamiiForums Tanzania Bora kusoma chuo kizuri au kozi nzuri

    Yeap, Ndani ya faculty kuna programme eg Ba accounting, na ndani ya programme kuna course eg Introduction to Microeconomics
  2. S

    JamiiForums Tanzania Continuing student SUA soma hapa

    Wewe hili tangazo umelitoa wapi? Weka link hapo!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Continuing student SUA soma hapa

    Hahahahahahahaa!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Majina yamechelewa kutoka, mwanafunzi atajiandaa muda gani?

    TCU wameanzisha utaratibu mpya wa kutoza ada kwa ajili ya maombi ya uhamisho kutoka chuo kimoja kwenda kingine. Hoja yangu ni hii: Inakuwaje ninyi tcu badala ya kuhudumia wanafunz mnaigeuza tume kuwa ya kibiashara na kuwatwisha wazazi/walez mizigo ya ada isiyo na msingi? U~app fee ilikuwa 30,000...
  5. S

  6. S

  7. S

    JamiiForums Tanzania Hatua na taratibu za kuhama chuo au kozi

    Mkuu, yaan hao jamaa hata hawatolei maelezo fees zao za kiboya wanazozianzisha, kaz yao ni kuzipa jina tu lakin wala hawahangaikumu kuzitolea ufafanuzi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hatua na taratibu za kuhama chuo au kozi

    Ndugu wanaJf, kwa utanguliz tu ni kwamba TCU wameanzisha utaratibu mpya wa kutoza ada kwa ajili ya maombi ya uhamisho kutoka chuo kimoja kwenda kingine. Hoja yangu ni hii: Inakuwaje ninyi tcu badala ya kuhudumia wanafunz mnaigeuza tume kuwa ya kibiashara na kuwatwisha wazazi/walez mizigo ya ada...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Nyie achen kudanganyika, hiyo link ya mwaka jana, mtakufa na presha buree
  10. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Mkuu acha kurusha roho za watu, hiyo academic year mbona ni ya mwaka jana, au hata wewe huelewi? Aliyepewa huo mkopo mwezi wa kumi anatarajia kuingia second year!
  11. S

    JamiiForums Tanzania TCU kuanza kuchaji Quality Assuarance Fee

    Mkuu, hiyo kitu sio propaganda, ni issue serious, na utaratibu uliotimiwa na TCU ni kuwapa order wakuu wa vyuo kuwaandikia wanafunz wao barua kuwataarifu suala hilo, usione jina la prof hapo ukafikir ni prof from TCU.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Kwan lazima uingie kwny jukwaa hili la edu, we ukiona unaboreka ingia hata kwny page ya udaku huko mc2letee mambo ya kiboya humu,,,ndo maana ikaitwa jukuwaa la elimu Na usijione wewe pekee ndo umesoma kuliko hao form 6 unaowa-diss, wapo kibao tena isitoshe hata elimu wanakuzid lakin wamekaa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    Waambie haoo, puuumba**!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Connection problem or invalid MMI code!

    Duuuuh, mkuu! Aisee karibia server zote za google dunian hazijanipatia jibu lililosolve tatzo hilo!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Asante sana jamiiforums na wadau wa Tech, Gadgets & Science Forum

    Hongera sana kaka kwa kazi njema unayoifanya, naamin hiyo yote ni kutokana na hustle zako maana najua elimu ya class huwa ni theory kwa asilimia nying, kujituma kama hivyo kuna develop skills za kutosha!
Back
Top Bottom