Recent content by stevenmanyota

  1. S

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    tupe number mkuu ili tujiunge kwenye hilo group tafadhali
  2. S

    Chuchu Sound: Zamani hadi sasa

    mkuu ongezea leila,kusema sema rmx na ukweli pamoja na marafiki kama unazo mkuu hii bend ilikuwa ni shiida
  3. S

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    mkuu naomba wimbo wa sikinde uitwao adha ya chumba kimoja,fm academia jimi chocolate,t.o.t plas visa vya baba mkwe utunzi wake papii kocha,na chuchu sound wimbo uitwao kusema sema rmx na laila utunzi wake marehemu yusuph chuchu na wimbo wa nina music madaraka ya jikoni
  4. S

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mbn hazifunguki? Ndo ya lazima sio yenyewe ninayoizumgumzia ni ile ya juma kakere ambayo inapatikana ktk albamu yake iitwayo BETTY
  5. S

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mbn hazifunguki mkuu,ndoa ya lazima sio yenyewe ninayoitaka mm ni ile iliiimbwa na juma kakere nakumbuka ipo katika albamu yake iitwayo BETTY
  6. S

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    mkuu habari za mchana mm nilikua naomba mtu mwenye nyimbo zifuatazo;khadija fm academia,mto wenye mamba wengi mchinga sound,nguzo tano za mapenzi mchinga generation,ndoa ya lazima juma kakere,visa vya baba mkwe t.o.t plus,bana beta beta musica,madaraka ya jikoni nina musica na ule wa fm...
  7. S

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Jamani habari zenu natafuta nyimbo zifuatazo,mchinga sound nguzo tano za mapenzi,mto wenye mamba wengi,neem neema rmx,bana betta wa beta musica,na wimbo wa juma kakere uitwao ndoa ya lazima,atakae zipata anirushie 0677529930
Back
Top Bottom