Recent content by steven mtunge

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete amtambulisha Makamu wa Rais Mama Suluhu kwa Rais wa China

    Afadhari miguu ya Kuku maana wakati mwingine Kuku hupumnzika, nahisi hapa miguu ya senene na mabawa yake yasha liwa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli aitumbua jipu TFF: TRA yazuia akaunti kwa kushindwa kulipa kodi ya Tsh bilioni 1.6

    Kwa dalili hizi naona Rais Magufuli hatosimama maovu yakitawala, ubinafsi,udugu na ukabila hatovumilia kamwe nadhani haya yote aliyaona na alishindwa kunena mbele ya watanzania, nahsi aliumia sana ndani ya moyo wake lakini hakuweza maana angethubutu basi hawa wabaya wangetumia kila waliwezalo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Sio kaniadhiri=sema kaniathiri wakenya wanashindwa kusema thi badala yake wanatumia dhi wameathirika na kiingereza hivyo acheni kuiga upumbavu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania are so boring! (an article from Uganda Observer)

    I like the way he want to send a message! To understand this article someone need to settle down and crack his/her brain,, thanks for the stylish article
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hili la CHADEMA kuajiri wageni kwenye uchaguzi sio jambo dogo

    Mazezeta sio watz wewe na Ukawa ndo Mazezeta maana hamjui kufanya tallying kitu ambacho ni simple badala yake mnaleta mamluki kutoka nje, hv kweli ninyi mngeweza kutatua tatizo la ajira endapo mngepewa ridhaa ya kuongoza nchi? Wengi wa Ukawa hawana uwezo wa kufikili maana imejionesha wazi kuwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

    Acha mambo yako ya kitoto! Kwa hiyo na unguja utasema ukabila? Mnatafuta njia ya kutokea et eeeeh! Mtanyooooka tu jipange Ukiwa!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naanza kunusa kitu cha Moto ACT Wazalendo

    Mnajifaliji tu!!! Hapa kazi tu, lowasa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Heshimu sana watu hawa "wanaongea kidogo wanasikiliza sana"

    MAGUFULI hata mseme nini ni MAGUFULI tu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Moja ya jengo la kifahari linalosemekana kumilikiwa na aliyekuwa mgombea ubunge Ludewa

    Mwambie pia aweke picha za nyumba za lowasa na mbowe
  10. S

    JamiiForums Tanzania Cheki mchakamchaka wa Abdulrahman Kinana alivyofunika Tunduma Mjini

    Dah CCM, noma urais Mapema Mapema
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Mlivyokuwa mnazusha Yale maneno, nanyi mlikuwa wasemaji wa JWTZ? , ona wanaume wazima mnaumbuka Sasa!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Unajitetea nini sasa? Acheni kulopoka hovyo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Cammon Wachina wameshatuliza, inawezekana bomba halitoi gesi

    Huku jf kuna watu walioathilika na siasa hivyo basi watu Hawa hata waelimishwe vp hawezi kukubaliana na elimu hiyo, wamesha ambiwa hii inshu si ya mambo ya siasa ni technical issues so msihusishe siasa Lakini mtu anakomaa na uzushi ule ule utazani kupe. Haya mtu anasema basi ziendazo kasi...
Back
Top Bottom