Recent content by steven deliphinus

  1. S

    Matumizi ya neno KUWEZA kwenye vyombo vya habari yamekaaje?

    Chombo gani kimesema mtu ameweza kupoteza maisha...
  2. S

    AVN imekuwa mateso sana kwangu. Naomba msaada

    Wewe ndio huijui AVN wataalam wanaijua acha kudandia mambo kama hujaelewa omba msaada ..anyway AVN maana yake ni Award verification Number ...bado una ukakasi 👍
  3. S

    AVN imekuwa mateso sana kwangu. Naomba msaada

    Wewe ndio huijui AVN wataalam wanaijua acha kudandia mambo kama hujaelewa omba msaada ..anyway AVN maana yake ni Award verification Number ...bado una ukakasi?!
  4. S

    AVN imekuwa mateso sana kwangu. Naomba msaada

    Nawasalimu Nyote Nimekuwa na changamoto ya kupata AVN nilihitimu Diploma 2015...nikafanya hatua zote za online za kuiomba AVN nikafika mpaka NACTE wakaagiza chuo kiandike barua ya kuomba kufunguliwa mfumo waingize matokeo yangu sasa ni wiki ya tatu inaenda ya nne nikipiga simu chuoni...
  5. S

    Avn number

    Mimi ni Muhanga namba moja
  6. S

    Kuomba AVN Number kumenitoa jasho msaada

    Kulingana na hiyo attachment uliyoituma hapo...kuna watuwaliohitim diploma kuanzia 2015..wao walishaanza kutumia Mtaala mpya na kulianzishwa kitu kinaitwa NTA levels...hivyo wao hulipia 10 ila wale waliosoma nyuma ya hapo...inaitwa Non NTA ...20 inahusika
Back
Top Bottom