Recent content by stepo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku uuzaji pombe maduka ya rejareja mitaani

    Roho mbaya tu hili kabila sijui tumelitolea wapi, yaani umekaa ukatafakari labda kwann kwa miaka 3 hakuna jambo la maendeleo mlilotekeleza ukaona mangi kuuza pombe ndio sababu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku uuzaji pombe maduka ya rejareja mitaani

    Ni kweli nchi zilizoendelea hakuna ujinga wa kuuza pombe kwenye maduka ya vyakula bt upo wa kuuza pombe kuanzia saa nne asubuhi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku uuzaji pombe maduka ya rejareja mitaani

    Huyo baba unayemwomba aingilie kati yy anafuata sheria? Kwa nn hampendi hata mwenye pesa kidogo nae akafurahi,
  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku uuzaji pombe maduka ya rejareja mitaani

    Kinachokuuma ni nini hivi mbona mna roho mbaya hovyo
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Azaveri Lwaitama: Kuna kikundi cha watu kinaendesha Serikali. Rais adhibitiwe!

    Unajua hata kama ni shabiki au umeajiriwa na chama/taasisi kuna vingine unapaswa utumie akili zako japo za utotoni km sa sasa wanazo wenyewe, kweli hujaelewa alichokizungumza hapo?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mama Salma Kikwete aiomba Serikali kurudisha sarafu za Senti 5, 10, 20 na 50 zitumike kufundishia

    Hivi prof maji marefu yupo! Dah ccm wanatutesa na wabunge wao wanaotuletea
  7. S

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Hutaki mhaya ila hujatueleza ww ni kabila gani.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kweli Nimeamini Waafrika Na Hasa Watanzania Tuna Uwezo mdogo sana Wa kufikiri

    Nashukuru umejibu kitaalam zaidi, kwani inagharimu bilioni ngapi kuzuia isitokee hata mara moja! Kwa nn wenzetu wanaweza ni kwa ajili ya pesa au kujali wananchi pamoja na kuogopa kuwajibishwa?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kweli Nimeamini Waafrika Na Hasa Watanzania Tuna Uwezo mdogo sana Wa kufikiri

    Juzi nilimsoma alipost picha ya mlango wa theatre baada ya siku 3 wakabadilisha
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kweli Nimeamini Waafrika Na Hasa Watanzania Tuna Uwezo mdogo sana Wa kufikiri

    Unajua sababu ya watu kumtumia taarifa mange? Sirikali yenyewe ndio inampa umaarufu mange. Ukipiga Kelele kidogo ushafuatwa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kweli Nimeamini Waafrika Na Hasa Watanzania Tuna Uwezo mdogo sana Wa kufikiri

    Unajua tatizo sisi watanzania tunawahi kuizoea shida that's why tunaendelea kupata umeme wa mgao na serikali haijigusi coz inawajua watu wake, kweli kupata maji yenye tope masaa kadhaa inabidi unyamaze! Unajua tatizo sisi watanzania tunawahi kuizoea shida that's why tunaendelea kupata umeme wa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kweli Nimeamini Waafrika Na Hasa Watanzania Tuna Uwezo mdogo sana Wa kufikiri

    Bila kupiga kelele hawatabadilika
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kweli Nimeamini Waafrika Na Hasa Watanzania Tuna Uwezo mdogo sana Wa kufikiri

    Sio kwamba we we ndio mtanzania usiyekuwa na akili unayedhani kuwa ni haki yako kupata maji machafu Mara moja moja bombani
  14. S

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Rais hataki miaka 7 ila sisi tunataka, Bunge lifanye mabadiliko ya Katiba

    Angekuwa na akili alipozungumza ule upuuzi wa kumpeleka lissu mahakamani angenyamaza sababu sasa kila mmoja amemjua alivyona upungufu wa akili, maigizo huwa ni kipaji sio yeyote tu na njaa njaa zake kumfurahisha mkulu
Back
Top Bottom