Hello JF members, natafuta Rafiki wa kike ambae tunaweza kuyajenga (maisha)
Mwenye sifa hizi;
-Awe na nidhamu mwenye kujielewa
-Awe Mkristo itapendeza zaidi Mkatoliki
-Umri 20 - 26
-Ambaye yuko huru, na pia sio muoga wa kutembea mkoa wowote ule
-Anae jua kutafuta, tutafute wote
- Elimu kuanzia...
Katika nchi za Afrika mashariki Tz ni ya pili kutoka mwisho kupata maambukizi hayo na ya mwisho Ni Uganda, Ni vip Tz imesambaza virusi hivyo kwa majirani? Kila nchi ina mikakati yake ya kujilinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.