Recent content by Stephen Ngalya Chelu

  1. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nyuma ya pazia: Wanayopitia Waamini wanaofika kwa Mwamposa kwenye makongamano ya kidini

    Watu wanaliwa sana pale mida ya usiku. Na habari mbaya ni kuwa siyo wanawake pekee...
  2. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nyuma ya pazia: Wanayopitia Waamini wanaofika kwa Mwamposa kwenye makongamano ya kidini

    Huwa nafanya mazoezi hapo kwenye viwanja vya packers kila siku jioni. Tushazoea kuwaona na hata hatujali sana. Ila imani ni sumu mbaya sana...
  3. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kufiriki kuna siku ingepita bila kuingia JF

    Kweli zama zinabadilika. Zamani nisipoingia jf hata kwa masaa manne tu nahisi nimepoteza kitu fulani muhimu. Sikuwahi kufikiri kama ningeweza kupita siku nzima bila kuingia jf. Ila ndo hivyo, leo nimeingia baada ya miezi mingi kupita, jf kama kumepoa hivi, hakuna sarakasi nyingi kama zamani. Au...
  4. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Arusha: Maandamano yaanza upya Leo

    Duh...
  5. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

    Kiukweli kwa hata hiki kidogo ninachokiona sikukitarajia. Serikali inapaswa kujitafakari...
  6. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

    Duuh, ukiona wanatanzania wamefikia hali hii basi ujue mambo yashaanza kuwa magumu
  7. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Updates: Matukio muhimu kuhusu Maandamano ya tar. 29 Oktoba 2025

    😂😂😂 Nasikia ubungo mataa watu wametoka...
  8. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

    Ndo msitume hata picha?
  9. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Updates: Matukio muhimu kuhusu Maandamano ya tar. 29 Oktoba 2025

    Yeah, yaani sasa hivi nikiona mtu analalamika nitakuwa natia tu mitusi...
  10. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Updates: Matukio muhimu kuhusu Maandamano ya tar. 29 Oktoba 2025

    Watu hawataki ku-risk kidogo walichonacho ili wapate kikubwa. Nipo road now muda wote nacheka tu maana nikikumbuka mbwembwe za insta na ninachokiona leo ni vitu tofauti
Back
Top Bottom