Naomba kuuliza swala moja, kuhusu ibara ya 30(5) an ibara ya 64(5) ya katiba Tanzania hazileti mkangamanyo baina ya ubora wa katiba an uhuru wa bunge. Japo litakua nje ya mama Naomi's unisaidie katika hili
Democracy na maendeleo ya nchi inahitaji watu wenye msimamo... mimi sio mUS lakini namuunga mkono Nansi pelosi laiti Tanzania tungepata wanasiasa jasiri wanaojali masilahi na maendeleo ya kisiasa, na kijamii, na yote huleta maendeleo ya kiuchumi. Hakuna maendeleo pasipokua na uwazi.
Hili swala halina utofauti na nchi kama Tanzania ambapo inakua ngumu kwa bunge, mahakama na mtu mmoja kushtaki rahisi aliye madakani hata ukiangalia kwa mujibu wa katiba rahisi amepewa nguvu kubwa katika nchi na utawala kiujumla. Ni wazi kwamba Donald Trump ni raisi mwenye shutma nyingi zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.