Recent content by Stephan Lichtsteiner

  1. Stephan Lichtsteiner

    JamiiForums Tanzania Hakuna murder case isiyoacha alama/ushahidi

    Yule demu wa benki aliukiwa kibaha sijaona muendelezo,
  2. Stephan Lichtsteiner

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

    Hii ya kurekodiwa huku wanajua ndio inaleta ukakasi aseee afu ni karibia zote
  3. Stephan Lichtsteiner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, naweza kupata saa inayorekodi umbali niliokimbia kwa bei gani?

    Tafuta GARMIN ila parefu kdg
  4. Stephan Lichtsteiner

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Mwendokasi yaua eneo la Urafiki

    Afu pale kwny fly over kufa nje nje ila watu wanapita tu
  5. Stephan Lichtsteiner

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

    Barabara mbovu mnahanagaika na ujinga
  6. Stephan Lichtsteiner

    JamiiForums Tanzania USHAURI KWA SERIKALI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KUHUSU KUBADILISHA MATUMIZI KWA STAND YA MABUS MAGUFULI MBEZI.

    Bus zote zina ratiba ya kupandia popote pale linapoanzia huko linapolala na ratiba ya kutoka Magfuli stand huna hoja roho mbaya...
  7. Stephan Lichtsteiner

    JamiiForums Tanzania Kumiliki gari ukiwa Tanzania sio jambo la mchezo... yataka moyo.

    Ndio mana wabongo gari ya 2007 wanaita New model sababu za miaka ya 2018 kuja juu kodi kichefuchefu
  8. Stephan Lichtsteiner

    JamiiForums Tanzania Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. Stephan Lichtsteiner

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watoto watatu wa familia moja wafariki dunia kwa kuliwa na fisi, wazazi wajeruhiwa

    Dah nimelia asee dah umasikin mbaya sana Mungu atufanyie wepesi tujipate
  10. Stephan Lichtsteiner

    JamiiForums Tanzania Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

    Bei zipoje kichwa kimoja? Naona watu wanajilipua tu
  11. Stephan Lichtsteiner

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Utakomaa bure tu kukimbia kilomita 5 mara tatu kwa wiki inatosha kbs....
  12. Stephan Lichtsteiner

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Kudadeki nime google hatua efu 10 kwa kukadiria ni sawa na kilomita 8... Hapo bora utafute dakika 20 uzunguke uwanja wa mpira angalau mara tatu kwa wiki
  13. Stephan Lichtsteiner

    JamiiForums Tanzania Kugongana kwa mabasi Sauli na New Force lilikuwa jambo la Muda tu

    Sema 80 % ya abiria wanaopanda hzo kampun tarifa zake wanazo ndio yan abiria wenyewe nao wanapenda mwendo wa ngiri mkia juu mana bus inachukua labda abiria 53 au 57 sasa kupata vichaa 50 wanopenda mambio mbona simpo.. ndio mana unaona ukingia humo husikii malalamiko abiria wao karibia wote...
Back
Top Bottom