Recent content by steph felix

  1. steph felix

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kufungua akaunti ya Benki

    Mimi nimefungua nikiwa na namba ya NIDA tu
  2. steph felix

    JamiiForums Tanzania 4 Bedrooms House

    Noted mzee, jambo njema sana hilo. Sikuliwaza kabisa
  3. steph felix

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii, turekebishe kipi?

    Vyoo vitakua vingi ndani, itabidi cha wapitaji kiwepo nje tu
  4. steph felix

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii, turekebishe kipi?

    Hahahaha, kwamba privacy ndio kitu cha kwanza
  5. steph felix

    JamiiForums Tanzania 4 Bedrooms House

    Wadau mnaweza toa maoni yenu kuhusu ramani hii.
  6. steph felix

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii, turekebishe kipi?

    Hapa vipi?
  7. steph felix

    JamiiForums Tanzania 3 Bedroom House, toa changamoto!

    Hapa vipi sahivi?
  8. steph felix

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii, turekebishe kipi?

    Mawazo mazuri sana, ila tunaweza amisha hiyo public toilet ikawa ile ya master bedroom, halafu mpangilio wa vyumba ukabadilishwa.[emoji1303]
  9. steph felix

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii, turekebishe kipi?

    Nimeipenda hii idea. Nitaedit ikae hivyo
  10. steph felix

    JamiiForums Tanzania 3 Bedroom House, toa changamoto!

    Noted, ngoja nione tunaiwekaje sawa.
  11. steph felix

    JamiiForums Tanzania 3 Bedroom House, toa changamoto!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. steph felix

    JamiiForums Tanzania 3 Bedroom House, toa changamoto!

    Hili la public toilet safi sana, ni wazo zuri. Ila prayer room ni kukosekana kwa nafasi ya kutosha
  13. steph felix

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii, turekebishe kipi?

    Ni Bora kuweka public toilet jirani na Master bedroom halafu vyumba vingine vifate?
  14. steph felix

    JamiiForums Tanzania 3 Bedroom House, toa changamoto!

    Nimejaribu na mimi kwa kutumia archicad, mnaweza toa maoni pia. Samahani mwanzilishi mada kwa kuvamia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
  15. steph felix

    JamiiForums Tanzania 3 Bedroom House, toa changamoto!

    Mdau hii software inaitwaje?
Back
Top Bottom