Recent content by stem

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya Chikichi Kavu

    Habari zenu wapendwa, Naomba kujua kuhusu biashara ya chikichi kavu na soko lake kwa ujumla na changamoto zilizopo kwenye biashara hiyo kwa mwenye ufahamu Aksanteni!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye Certificate ya Lab Assistant anaweza kuchukua Ordinary Diploma ya Lab Technician DIT?

    Habari zenu wapendwa naitaji kufahamu mtu mwenye certificate ya lab assistant anaweza kuchukua ordinary diploma ya lab technician pale DIT?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni kozi gani anaweza kusoma mtu mweny D tatu kidato cha nne

    Nashukur ndgu yng
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni kozi gani anaweza kusoma mtu mweny D tatu kidato cha nne

    Ok anawez kuchukua coz gani mana kuna mtu alinigusua kuhusu NABE sasa cna maelezo vzr labda unifafanulie kama unafaham
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni kozi gani anaweza kusoma mtu mweny D tatu kidato cha nne

    Kwa alivyopata uo ufaulu kwa masomo ayo anawez kusoma iyo course?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni kozi gani anaweza kusoma mtu mweny D tatu kidato cha nne

    Nina mdogo wangu amemaliza Form 4 mwaka jana amepata alama D tatu za kiswahili,English na History naomba ushauri namna ya kumuendeleza kimasomo kwa mnavyofahamu ndugu zangu..
Back
Top Bottom