nilifatilia nikagundua yaweza kuwa ni ubabaishaji maana wanataka utoe kiingilio milioni moja (hii niregistration fee only) halafu ndio utapatiwa mkopo kulingana na unachohitaji kulima huku wakikusimamia mpaka mavuno na masoko. Anyway sina hakika nao kwa kweli maana hiyo fee ni kubwa sana kwa...
Jana nilikuwa naangalia kipindi cha Wakilisha EATV saa 3 na nusu usiku nikaona taasisi inasaidia vijana mikopo ya kilimo na kukusimamia mpaka mavuno na masoko kisha unawalipa 20 % ya mauzo yako yote huyo dada anaitwa Juith mwenye hiyo kampuni lakini jina la kampuni sikufanikiwa kulisikia mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.