ipo siku utakuja tambua kwamba hao siyo magaidi bali ni mfumo ndiyo unawatesa kwa kudai serkali tatu.
wametimiza wajibu wao. kosa limefanywa na waliokimbia BMK hata 6 akapata nafasi ya kupitisha kura za maruhani.
laiti wasingetoka kila mjumbe akasimama alipo kwa sauti kuu MWONGOZO × 130 hicho...
natafakari kumbe ccm "hawaibi" kura kwani kila kona wanaungwa mkono.
udhalimu ni udhalimu tu huwezi kuilaani serikali kwa kumbambika Rwakatare ugaidi au kwa kumuua Mvungi, Mwangosi na wengine kama hao lakini linapokuja swala la Masheikh/Waislam unaipongeza serikali kwa kuwasulubu. huwezi...
tofauti za kidini zonafanya mtukanane, lini mtajenga hoja za kiuadilifu hasa inapotokea haki za raia zina kandamizwa na serikali bila kujali anayepondwa ni mkristo au muislam.
hii migawanyiko ya udini ndiyo inayotumiwa na watawala, ajabu opposition wanaonekana kuunga mkono uovu wa serikali kwa...
wananchi tunasubiri kwa hamu kutoka kwa watafiti, makatibu wakuu
ombi;- wasizungumzie mambo ya vyama vyao waongelee kwa ujumla wake. kinachotakiwa na watanzania
waungwana ccm siku zote inacheza na akili za watu, inagawa watu katika makundi kisiasa na kidini na inafanikiwa itafutwe njia ya watu kuacha lengo kuu na kufuata lengo mahsusi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.