Anapewa heshima zote kama Mh.Rais pale anapotembelea nchi husika kwa ziara ya kiofisi. Kumbuka lazima kuna mwaliko na sheria za mwaliko kidiplomasia mwenyeji lazima atimize mahitaji ya mgeni, hapa tunazungumzia malazi yake na wasaidizi wake wote pia hiyo kazi inafanywa na balozi pamoja na...
kinachoshangaza mtu huyo amesoma na ana exposure ila maneno anayoyatoa sasa unashindwa kumuelewa anatafuta nini katika dunia ya utandawazi. Very dissappointing
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.