Recent content by State Propaganda

  1. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Historia ya vita ya Machame na kibosho

    Mambo mazito haya Walio wengi hawayajui
  2. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Jana NMB wamenitumia Trion 10 Kwa makosa

    Boya
  3. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumruhusu mke au mpenzi wako aende mbio za Marathon peke yake?

    Only a Mad Man can do that.
  4. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yalivyokumba Jiji la New York, miundombinu ya mifereji yazidiwa barabara zafurika maji

    Nimeona clip moja vinyesi vinaelea watu wanamlalamikia Mayor wa NY
  5. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania ATCL Yazindua safari za mwanza - dodoma, abiria 1300 kwa siku

    Nimejikuta naikumbuka Fastjet😢
  6. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Dodoma ndio Jiji lenye modern real estate kwa Tanzania

    Umesema vema. Makazi mangi ya Dodoma ni mapya na yapo katika mipango miji
  7. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, picha hii ya mfungwa aliyevaa hereni kutoka gereza la UKONGA ni halisi?

    AI AI AI AI AI AI 10000000000%
  8. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Bei mpya za Mafuta mwezi Mei zatangazwa, Petroli yazidi kupanda hadi 4115, Diseli 4248

    Haya maneno ni kama unajiambia wewe na nafsi yako ili kujifariji mkuu. Kwani ni nani aliyesema kuwa dunia itafika mwisho; kwamba maisha hayataendelea??
  9. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuwepo kwa vibanda vya kusambaza kondomu karibu na mazingira ya shule za msingi?

    Ukiona hicho kibanda chukua taadhari hayo maeneo (kuna uwezekanao maambukizi ya VVU yapo juu sana).
  10. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania NHC waombeni msamaha Watanzania walio wengi kwa kuwadanganya

    Hayo wasema wewe na hayakuwa kwenye mpango.
  11. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania NHC waombeni msamaha Watanzania walio wengi kwa kuwadanganya

    Inachoumiza zaidi hizi nyumba ni za serikali ambazo zimejengwa na NHC kutumia kodi zetu, lakini gharama zake nafuu hata za zile Hamidu City Park kule Kigamboni
  12. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania NHC waombeni msamaha Watanzania walio wengi kwa kuwadanganya

    Kuna jambo halipo sawa kabisa. Hizo bei sio 'realistic' kabisa. Samabamba na hilo, hayo mabadiliko ya bei ya awali wakati mradi unaanza kutoka TZS 50-200 Millions to TZS 400 Mil up to 1 Billion ni kwa maelekezo au manufaha ya nani????. Tunaitaka serikali ije itoe ufafanuzi?
  13. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania NHC waombeni msamaha Watanzania walio wengi kwa kuwadanganya

    Tarehe 2 Septemba 2022, aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemia Mchechu alisema yafuatayo wakati akiwakilisha mipango waliyonayo NHC kwa wadau wa Sekta ya Milki Nchini ambapo SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limesema hivi karibuni linatarajia kuanza ujenzi wa 'nyumba za...
Back
Top Bottom