Recent content by StarTimes Tanzania

  1. StarTimes Tanzania

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    tunafanya maboresho kwenye njia za malipo hivi karibuni kutakuwa na mabadiliko
  2. StarTimes Tanzania

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Tunashukuru kwa maoni tutayafanyia kazi Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
  3. StarTimes Tanzania

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Tafadhari lipia kifurushi cha uhuru 20000 kama unatumia antena au 21000 kama unatumia dish Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
  4. StarTimes Tanzania

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Habari Tunashukuru kwa maoni yako. Tafadhari tambua kwa sasa unaweza pata ligi ya spain; na nyingine nyingi. PL kwa sasa hatuna Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
  5. StarTimes Tanzania

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Ni sawa. Fika nayo hiyo tafadhari katika ofs ya startimes iliyokaribu yako Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
  6. StarTimes Tanzania

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Habari yako. Hiyo sat3 sio smart dekoda. Kwa sasa huwezi kutumia usb
  7. StarTimes Tanzania

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Habari yako. Kwa sasa kwa decoder za kawaida sehemu ya usb flash haifanyi kazi! Ila kama unatumia smart decoder unaweza kurekodi vipindi pia kuangalia movie iliyo kwenye usb yako
  8. StarTimes Tanzania

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Pia kama dish ahalijafungwa vizuri linaweza sababisha tatizo hili. Tafadhari tupatie namba yako ya card tutawasiliana nawe
  9. StarTimes Tanzania

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Habari yako tafadhari rekebisha/funga vizuri antena yako
  10. StarTimes Tanzania

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Habari yako tafadhari tambua kwamba uzi huu ni maalumu kwa ajili ya starTimes
Back
Top Bottom