Recent content by StarlinkTanzania

  1. S

    Starlink Tanzania Ltd. Set to Enter the Telecommunications Sector – A Strategic Call for Investment

    Starlink Tanzania Ltd. Set to Enter the Telecommunications Sector – A Strategic Call for Investment In response to growing demand for reliable and affordable internet services across the country, Starlink Tanzania Ltd., a proud local company, is making a bold move into the telecommunications...
  2. S

    Gibson: Starlink Tanzania haina uhusiano na Starlink Satellite

    Kampuni ya burudani na masoko ya Starlink Tanzania Limited imekanusha vikali uwapo wa uhusiano wowote na Kampuni ya Starlink Satellite Tanzania Limited inayotoa huduma ya intaneti inayomilikiwa na SpaceX. Starlink Tanzania Ltd ilisajiliwa Aprili, 2019 na kumilikiwa kikamilifu na Watanzania...
  3. S

    Starlink yawasilisha maombi ya leseni kwa TCRA. Je, safari hii watatoboa? Ushindani wa gharama na ubora wa internet utakuwaje?

    Kasome Companies Act, 2002 (Cap. 212) of Tanzania,Section 30(1).Alafu niambie kama unaweza kusajili kampuni inayofanana jina na Azam uiite Azam mboga kama itakubaliwa.
  4. S

    Starlink yawasilisha maombi ya leseni kwa TCRA. Je, safari hii watatoboa? Ushindani wa gharama na ubora wa internet utakuwaje?

    Awali ya yote bwana Musk alitakiwa awe na kampuni ambayo Ina public shares Yani kampuni yake iwe listed Dse,Alafu awe na physical address ili utatuzi wa changamoto za mitambo yao ipatiwe ufumbuzi mapema pindi zinapotokea,na pia atoe ajira kwa asilimia kadhaa Kwa watanzania.(Wasiwe ni wazungu...
  5. S

    Starlink katuma maombi hajaruhusiwa. Internet ina speed na gharama nafuu lakini ni ngumu kuruhusiwa kwasababu haiwezi kuzimwa wala kublock Twitter

    Lakini pia Starlink Satellite Tanzania Ltd haiwezi kupewa leseni kwani ipo kampuni nyingine yenye brand kubwa inayotumia jina Starlink Tanzania Ltd na imesajiliwa tokea 2019 na imefanya KAZI na wasanii wakubwa kama Mimi mars,Eric omondi,mpoki,mc pilipili,Roza ree.Ni ngumu kupata kibali na...
  6. S

    Yaliyotokea Kariakoo ni ukumbusho kuwa Amani hulevya Ujinga

    Kuonekana sura pasipo kazi kufanyika ni show off isio na tija.
Back
Top Bottom