Recent content by Standalone

  1. Standalone

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Kwa kweli namsubiria Raisi wangu hapa kwa hamu kubwaaaaa........
  2. Standalone

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Wanandugu, Nashangaa sana yanayotokea kwenye nchi yangu sasa hivyi...Viongozi wamekuwa sio wale tena wanaoshauriana kabla jambo halijafanyika. Sasa hivyi unaweza kuona katibu wa wizara flani anafanya jambo baadae anakuja waziri analipinga...Sasa inakuwaje au kuna mtu yuko sehemu ananyanyua waya...
  3. Standalone

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamuru KKKT kuufuta waraka. Yatishia kulifuta "Baraza la Maaskofu wa KKKT" na kuwashitaki

    Sikujua Kama Kwaya Nayo si jumuiya ya kanisa kumbe nayo ilitakiwa tukaisajili kwa msajili....Ila kweli tunaelekea Pabaya....Hii vita haitamuacha mtu salama....
  4. Standalone

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Niliwapigia Simu Azam TV wanielekeze jinsi ya Kuifuta TBC kwenye kingamuzi changu na walinisaidia kwa moyo mmoja kwakweli nilifarijika sana
  5. Standalone

    JamiiForums Tanzania Kauli za Rais Magufuli: BAVICHA wamtaka aombe radhi kwa kupotosha

    Nawaambia Leo Ipo siku itafika wanaomshabikia #BabaJesca watapotea wote.. Atakuja kuwa Raisi mbaya kuwai kutokea Tanzania.Time will tell
  6. Standalone

    JamiiForums Tanzania Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

    Nilifundishwa kwenye Saikolojia mtu anayendika kwa herufi kubwa tu anakuwa na matatizo ya kiakili
  7. Standalone

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA wateka nchi

    Tanzania itasimama kwa muda pale Kamati kuu itakapokuja na jina la KM wetu
  8. Standalone

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA wateka nchi

    Tumejipnga kuwaletea Katibu Mkuu Bora
  9. Standalone

    JamiiForums Tanzania SSRA: Ufafanuzi kuhusu uraia wa Dr. Carina Wangwe

    Serikali ya Pombe yaweza kuwa moja kati ya serikali mbovu kuwai kutokea....Just time will tell
  10. Standalone

    JamiiForums Tanzania Kakosea kutuma pesa kwenye simu yangu, nimezitafuna

    Haukufanya ustaarabu wowote...Hebu fikiria ukute alikuwa anamtumia mgonjwa yuko hospitali alafu wewe kibaka umeziiba.
  11. Standalone

    JamiiForums Tanzania Muitaliano/Vicenzo Cozollino: Nilichangia Dola laki 3 kwa ajili ya maendeleo ya Bumbuli

    Naombeni Picha ya Wale wanafunzi wa shule ya msingi Huko Bumbuli waliokuwa wamevaa viatu walivyopewa na mwezi wa Kwanza
  12. Standalone

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

    Nitakuwepo kuwakilisha chombo changu cha habari
  13. Standalone

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuzungumza na Taifa kupitia waandishi wa habari makao makuu CHADEMA leo

    Leo sikai mbali na vyombo vya habari nasubiria nisikie Mwenyekiti wngu anavyotikisa nchi leo
  14. Standalone

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yalaani ubaguzi wa CCM Zanzibar

    CCM ubaguzi hawajaanza leo....Khaaa ilo bango limewavua nguo...
  15. Standalone

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake nane wafutiwa mashitaka

    Safi sana
Back
Top Bottom