Recent content by Stamp

  1. Stamp

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bible App Kanisani na mitazamo hasi

    Nakubaliana na Mtoa hoja. Makanisa yanapaswa kuliona hili na kubadilika. Ili huo uchakachuaji tunaohofia usitokee kwa kuweka version sahihi kwenye hizo App. Mfano Katoliki version ya vitabu 72. Lakini msingi mwingine ni Elimu kwa watumiaji. Mfano namna ya kuzuia simu kupata notifications ukiwa...
  2. Stamp

    JamiiForums Tanzania Sehemu ambayo mapato yanapotea ovyo hii hapa kwa Taifa letu. Rais Dr. Magufuli Itazame hii

    Magari yote yanayosafirisha abiria ni sharti yawe yamekatia bima kwa idadi ya abiria wanaowasafirisha. Tatizo lililopo hapa nchini ni uelewa mfinyu wa wananchi na ulasimu wa makampuni ya bima pale inapotokea ajali na abiria kufuatilia compensation.
  3. Stamp

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wapya wasisitizwa kwenda na vyeti vyao

    Kazi ipo
Back
Top Bottom