Recent content by STAMBULI NURUDINI

  1. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Mbunge wa jimbo la tanga omar nundu nae asafishwe
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Napenda kuwapongeza ndg zangu kwa michango na mawazo yenu mazuri kuhusu gubiko kubwa kwa watanzania, mengi mazuri yamesemwa bungeni na wabunge with mahiri hakika ujumbe umefika spika mwenyewe anajua ingawa anajitoa ufahamu ni wazi kuwa pesa iliyogawanywa kwenye viroba na mabox ndio wao...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Serikali yetu lazima iwe serious na hasa kwa tukio hili linaloendelea sasa la sakata la escrow bungeni na kusahau hili la serikali za mitaa hivi kama dola yenyewe haipo serious je wananchi watakuwa serios ikumbukwe leo ni mwisho wa kujiandikisha katika uchaguzi wa serikali za mitaa lakini...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Escrow: Asante wabunge wetu, Mungu awabariki!

    lisu anatoa fact
  5. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Escrow: Asante wabunge wetu, Mungu awabariki!

    kijana alieleza ukweli katishwa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Escrow: Asante wabunge wetu, Mungu awabariki!

    kama kweli ni waungwana Na wanafuata utawala bora basi wote wawajibike mpaka pm
  7. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Escrow: Asante wabunge wetu, Mungu awabariki!

    Zitto kabwe u are hero
  8. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Escrow: Asante wabunge wetu, Mungu awabariki!

    hadi bungeni wanakata umeme hii nchi tunakwenda wapi?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Escrow: Asante wabunge wetu, Mungu awabariki!

    umeme umekatika bungeni
  10. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Escrow: Asante wabunge wetu, Mungu awabariki!

    Itv wametutendea haki zaidi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Escrow: Asante wabunge wetu, Mungu awabariki!

    sospeter mhongo jiuzulu mwenyewe
  12. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Escrow: Asante wabunge wetu, Mungu awabariki!

    kwa hili wote wawajibishwe
  13. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Escrow: Asante wabunge wetu, Mungu awabariki!

    zitto amemsifia mwigulu nchemba vijana hatuna utani
  14. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Escrow: Asante wabunge wetu, Mungu awabariki!

    zitto kabwe hongera kwa uchambuzi mzuri
Back
Top Bottom