Connection ndio kila kitu , yani ndio wateja , ndio biashara , ndio maisha ....mfano kuna kijana nilimpa darasa la kufanya home delivery products , nikamuuliza baadhi ya maswali , nikamwambia nipe mfumo wa mawasiliano yako na status yako kwao , akaniambia nami nikamtajia products tatu za home...