weee! msi mlaumu huyo jama kwani ana kosa gani? kama haya kupendezi njia liko wazi toka chat. mimi ni mcongo hizi meseji zina ni funza ku zungumza vizuri hii luga ambayo ni kawaida kwenu wa tanzan kama huoni mafaa jitenge mwenyewe
hata nami nime kuja ku gundua kwamba mda waku waonga wana wake ume kwisha mda wao ume fika, jameni huna pesa huna mume, siku hizi ku mpata mume sio kitu rahisi
sio hivo mda waku fanya shuguli zangu ndo na hofia. nikiwa kazini nakuta message na picha za ku niita kwa haraka nyumbani . jamani mna taka kunimaanishia kwamba yana wapata hata ninyi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.