Recent content by ssst

  1. S

    Lengo kuu la Lowassa ni nn kutaka uongozi wa nchi hii? Je ni kweli kutaka kuondoa umaskini?

    unazungumza mengi usiyo yajua nakuonea huruma sana tena nakuomba uje wewe kama ulivyo monduli tuanze kukupa historia tuliko anza na lowassa na tuliko nae hivi sasa tena kwa taarfa yako hakuna jimbo lilo na miradi mingi kati ya majimbo yote ya ccm yaliyokuwa masikini mimi nakushauri usiwe...
  2. S

    Hotuba ya Mhe. Mbowe ina ubora kuzidi hotuba zote tangu mwaka 1995!

    fisadi ni wewe kama unaushahidi peleka mahakamani acha kutupotezea muda kusoma taarifa ambazo ni siasa za watu wenye fikra duni sijui utahutubia watu gani waelewe hiyo lugha zama hizo zimepita! isitoshe wewe uliye andika hivyo hujui lolote bali ni pepeta domo km katibu wenu mwenezi! think about...
  3. S

    Lowassa mizunguko ya kutafuta wadhani, Kampeni amewekeza na Afya yake

    Hoja ya ugonjwa sio hoja maana humu ndani ninyi sio jopo la madaktari wa kupima nawashauri pelekeni kwa kinana aandae madaktari kabla ya mchujo wapimwe wote! Tusipoteze nguvu na muda kujadili hilo ambalo kimsingi halituhusu! Hoja ya rushwa, uvunjivu wa sheria mwenye ushahidi apeleke mahakamani...
  4. S

    Lowassa mizunguko ya kutafuta wadhani, Kampeni amewekeza na Afya yake

    humu ndani hamna madaktari na hata kama wapo sio mahala pakupima na kutoa taarifa za ugonjwa wa mtu miiko yetu sisi ya kazi haiko hivyo! mimi nashindwa kuelewa wasemaji wa fani za watu wako kwenye mitandao! Jamani siasa haziko hivyo kiukweli kila kona ya nchi siku hizi jamiiforum inaitwaa ya...
  5. S

    Waziri Mkuu, Mizengo Pinda achukua fomu kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    hilo liko wazi toka zamani ni kelele tuu za baadhi ya washabiki wa siasa za mitandaoni! Lowassa ni mchapa kazi kama Sokoinne! tunaendelea kufuatilia kwa karibu jinsi mambo yanavyoenda!
  6. S

    Waziri Mkuu, Mizengo Pinda achukua fomu kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    hilo liko wazi toka zamani ni kelele tuu za baadhi ya washabiki wa siasa za mitandaoni! Lowassa ni mchapa kazi kama Sokoinne! tunaendelea kufuatilia kwa karibu jinsi mambo yavyoenda!
  7. S

    GE2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    yangu masikio na macho kuona nini kitajiri kwa sasa sina haja ya kupoteza nguvu zangu kuzungumzia hili!
  8. S

    Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

    kila heri lowassa! usikate tamaa endelea una haki ya kugombea kama kuna mtu yeyote mwenye chuki na wewe basi hakuna namna nyingine zaidi ya kumuombea rehema! wamekuita sana fisadi kwenye mitandao sasa mbona hawafiki mahakamani kukushtaki wanaishia kuzungumza kwenye mitandao ya kijamii ambayo sio...
  9. S

    Edward Lowassa achukua fomu kugombea Urais mjini Dodoma

    ni haki yake ya msingi kugombea acheni chuki na siasa za kitoto! mimi nawasubiri watakao pitishwa tukutane mtaani majukuani! Lowassa endelea usikatishwe tamaa na watu wakupenda ubinafsi! unahaki ya kugombea kama binadamu wengine!
  10. S

    Ushauri wa Bure Kwa Hon Dr. Harison Mwakyembe (Mb)-Kwa Hili la Richmond!, Bora Ujikalie Kimya!

    Bila kujali kuwa huo waraka ni wa Dr Harrison Mwakyembe kweli au laa! naungana na ww kuwa Mh Dr Harrison Mwakyembe kalitia Taifa hasara katika tuhuma za Richimond lakini pia naungana na ww kuwa kafanya vibaya sana katika wizara ya uchukuzi kama walivyo fanya ovyo mawaziri wengine kuna wakati...
  11. S

    Madai ya Nyerere Kumkataa Lowassa, ukweli na ushahidi huu hapa

    Nina amini katika historia ya TZ huwezi kumficha Edward N Lowassa. katika mafanikio ya serikali za awamu ya pili, tatu na nne huwezi kufuta historia ya lowassa kama sehemu ya baraza la mawaziri! kila binadamu ana mapungufu na madhaifu yake! lakini binafsi kama mtanzania na muumini wa siasa safi...
  12. S

    UKAWA wakubaliana kuwa na mgombea mmoja wa Urais

    Kwa mtazamo wangu kama mtanzania siwezi kufurahia hatua hii ya UKAWA bali naendelea kusikitika sana kwasababu matunda ya hatua hii kwa Taifa ni mabaya! Najua wengi mtakuja juu kama ilivyo kawaida ya watanzania tunapenda kusema ndio hata bila kutafakari kwa undani kwasababu tuu viongozi wetu...
  13. S

    Lowassa amjibu Nape

    yaani NAPE ndo ana wahangaisha hivi hamtoi comment za maana mnabaki kumsikiliza dgo NAPE! Ambaye hajitambui sema tuu CCM wenye nayo bado wako kimya watakapo simama na kusema NAPE hicho kivuli tuu wala hana hata hoja kwenye vikao! CCM wanamwita kasuku wetu au tarumbeta la chama! mm nawashauri...
Back
Top Bottom