ok, but ww unadhani hii ishu itakuwa katika dakika ya ngapi kutokea automatically maana hata mashabiki nao wanasubiri kuona goli similarly je referee atakuwa fair to which level? maana inaonekana kuanzia coach, referee, all other commissioners hawaaminiki.
wakuu ushauri ninaotaka ni kuhusu kama hii biashara itanipa faida ya hela, mikoani tena katika mji fulani mdogo, au nitaambulia hasara maana sijawahi kufanya.
wakuu samahani, najua mtaona labda mm ni mgeni humu lakini hapana. binafsi nasomaga tu hoja za wanaJF humu kwa muda mrefu.
ila leo nimekuja na hii ishu naomba ushauri wenu wa fasta; nataka niende kufungua biashara ya baa/sehemu ya kuuza vinywani/pombe/soda/nk.
asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.