Siono haja ya kuungana Kwani wakiungana wengine wapo pale kwa kudhofisha wapinzani.Watanzania sasa hivi ni waelewa kila mtu afe kivyake but bungeni waungane kutetea udhalimu lakini kwenye chaguz mimi simwamini cuf na Nccr wale hawasomeki
Kibabu umezeka vibaya nakuomba uwe mzalendo usishabikie maovu dunia itakushangaa sana kwani hata mtoto mdogo anayaona hayo wewe huoni kama ni unevu hata kama wewew ni mwana CCM angalia masilai wa watanzania kwanza.Jambo la askali wale pale bugeni ni kulinda AMANI y WABUNGE NA UKUMBI WA BUNGE SIO...
Ooovyo! chukua chako Mapema (CCM) kilichotokea Bungeni ni aibu ya naibu spika na serikali yake kukosa staha ya kuongoza Bunge na kusikiliza hoja za wapinzani.Oovyo mtu mzima hovyooo mbaya hatari aibu shida ziro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.