Mbona mshikaji yuko sahihi. jamaa katoa posti ya kingereza tena katumia misamiati migumu, yeye alichofanya ni kumuonesha kuwa watu wanajua alichokiandika hivyo asidhani yeye ndo mjanja wa lugha humu jf.
Yani mh. uko sawa kabisa. Washabiki wengi wanaounga mkono uongozi wa cdm ni wale wanywa gongo na wavuta bangi they dont think about future. Hao ni wale wanaokipenda chama hata kama kioafanya vibaya. Cdm wamesahau kuwa baadhi ya majimbo 2010 waliyapata kwa 7bu ccm walikuwa na makundi...
KWELI MKUU. TENA MIMI NINAMSHAURI ZZK HATA KAMA ATAWASHINDA KWENYE BARAZA KUU AJITOE KWA HIARI YAKE CHADEMA MAANA HALI ILIVYO NI NGUMU. Labda kama wanachama wote wa cdm ni waelewa wanatakiwa wamuondoe mbowe, slaa na kibaraka wao lissu chama kinaweza kutulia. Angalia wabunge viti maalum wengi ni...
Hata wewe utakuwa mzembe wa kufikiri. Hivi unapozuia jambo fulani halafu ikatokea wale unaowazuia wakaleta utetezi wao ili lile unalozuia liendelee halafu mahakama ikakubaliana na wewe huo sio ushindi? Wote mzuiaji na watetezi wa jambo wametoa hoja zao kikatiba na mzuiaji akashinda huo tuuiteje...
I am with you 100%. This and more is what they wanted to happen. Haya wanayoyafanya yataondoka na roho za watu. Mwisho wa siku kuna mmoja atakufa kwa presha waendelee tu kutajana siri zao.
Unajua tatizo letu ni moja, huwa tunataka majibu yaje vile tunavyofikiria ndo maana ktk comment za wengi hawaamin majibu yaliyotolewa na nimrod mkono. Wengi walitaka aseme ni kweli kampa. Jaman kama wtz wenye kufikiri tusitake mambo yaende the way we think or want. Tunachotakiwa ni kuamini kile...
So kina mbowe lissu na slaa wanataja mambo yaliyotokea 2013 tu na ya 2014?? Hivi mkoje?! wakisema kina lissu mambo ya 2009 ni sawa, akisema zzk ni kosa. Hii kali ya mwaka.
HIVI UNATAKA AKANUSHE NINI WAKATI AMEHOJIWA NA KUELEZA KUWA HAKUNA KOSA KUPOKEA HELA KWA MTU YEYOTE. Maana yake amekubali kuwa ni kweli alipokea na ni kweli alikidanganya chama kuwa anakikopesha wakati waliotoa walitoa kwa ajili ya chama na sa kwa ajili ya mbowe. CHADEMA NAWASHANGAA SANA...
We ni mjinga wa kufikiri. Kwani hayo anayoyasema zzk ndio yaliyosababisha kupanga mkakati wa kuondoa uongozi wa juu. Hakutaka hayo yajulikane kwa sababu ni mambo ya ndani ya chama. So mpango wote wa kumuondoa mbowe kwenye uenyekiti wa chama ni pamoja na kusafisha chama ili kuleta utendaji wa...
Mi naona we ndo mbumbumbu maana unajidanganya kuwa huwa anafanya reseach hebu thibitisha kwa kutoa waraka mmoja waliosema cdm wameupata kisha wakawaonesha wtz mipango ya siri ya serikali ya ccm. Acha ushabiki wa kijinga usiokuwa na mantiki. Slaa amekosa sera hivyo ameamua kuzusha lingine jipya...
Mbona nyaraka nyingi hawajatoa mpaka hizo za bomu kwenye mkutano wa cdm arusha? Kweli mi naona apimwe akili pamoja na wewe ambaye unamfagilia wakati hajawahi toa nyaraka yoyote ya kuthibitisha yote wanayoituhumu serikali. Kila siku tuna nyaraka kuzitoa wanashindwa. Wtz amkeni acheni kudanganywa...
Dah!! Kiukweli WTZ tumekuwa wajinga sana na hasa vijana wa sasa. Tumekuwa na tabia ya kuiga mambo bila kujua chanzo chake. Kuvaa kata K kwa sasa ndo imekuwa fassion ya vijana. Kijana yeyote asipovaa mlegezo anaona kuwa atakuwa mshamba mbele ya vijana wa mjini. HUU NI UJINGA kutokujiamini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.