Recent content by SQ100

  1. S

    Maelezo ya Mtaalam muuzaji na Maelezo ya waliotengeneza gari Yananichanganya sana. Msaada.

    Na mimi nina x trail ina mileage 170000km hua natumia castro 20w-50 .... je nipo sahihi kutumia oil hiyo au ndo niludi kwa full synthetic...sina user manual gari nilipata kwa mtu
  2. S

    Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

    Mimi nimekaanga engine nataka nijue bei kwa anae fahamu
  3. S

    Mwenye tatizo kuhusu magari

    kuna mlio wa kugonga unatokea kwenye gia box nikibadili gia kutoka R kwenda D,P kwenda R au D (Nissan x-trail 4wd) Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Mwenye tatizo kuhusu magari

    Taaa iliwaka nikiwa naendesha tena speed kama 80km/h Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Mwenye tatizo kuhusu magari

    Ok gari yangu nilikua naendesha root ndefu mara ghafla check engine ikawaka nikaenda kupima nikaambiwa iyo taa inasababishwa na vvti sensor...kwamba kunauwezekano oil haipiti baadhi ya sehemu kwenye engine..... ebu nifafanulie apoo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Mwenye tatizo kuhusu magari

    Sensor ya vvti kazi yake nini Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Rim za chuma (steel) vs aloy rim (sport rim)

    Cylinder head kivip sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    Rim za chuma (steel) vs aloy rim (sport rim)

    Size 16 za nissan x-trail Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    Rim za chuma (steel) vs aloy rim (sport rim)

    Wana Jf naomba kupata uelewa kuhusu hizi rimu zipi ni imara na kunatofauti gani itatokea kwenye gari endapo utatoa sport rim na kuweka steel rim? Msaada please Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    OBD Diagnosis 101

    Hivyo vifaa vipo vya aina ngapi na bei zake zikoje Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom