Rim za chuma (steel) vs aloy rim (sport rim)

rim za chuma ni ngumu mno huwezi kulinganisha na hizi sports rim ambazo nyingi ni fake, uzuri wa hizi sports rim ni kwamba tu zinapendezesha gari. Vile vile Sports rim original ni adimu na ukipata ni bei ghali sana (mfano set ya rim kwa inch 15-16 inacheza laki 900 mpaka milioni moja)

Mimi nilikuwa natumia hizi rim za chuma inch 14 (zilikuja na gari toka nje) ila kwa bahati mbaya zilikuwa ndogo sana na kwa barabara zetu hizi gari ilikuwa inagusa chini sana ikabidi nitafute inch 15 ila kuzipata ilikuwa shughuli kubwa, huwezi kuzipata dukani mpaka kwa madalali wa magari mtaani. Ukifanikiwa kupata hizi rim za chuma ni bori kuliko hizo sports rim.

Labda nikuulize unataka size gan?
 
pia hizi sport rim zina categories mbali mbali kulingana na upana na wingi wa mapanga,
 
rim za chuma ni ngumu mno huwezi kulinganisha na hizi sports rim ambazo nyingi ni fake, uzuri wa hizi sports rim ni kwamba tu zinapendezesha gari. Vile vile Sports rim original ni adimu na ukipata ni bei ghali sana (mfano set ya rim kwa inch 15-16 inacheza laki 900 mpaka milioni moja)

Mimi nilikuwa natumia hizi rim za chuma inch 14 (zilikuja na gari toka nje) ila kwa bahati mbaya zilikuwa ndogo sana na kwa barabara zetu hizi gari ilikuwa inagusa chini sana ikabidi nitafute inch 15 ila kuzipata ilikuwa shughuli kubwa, huwezi kuzipata dukani mpaka kwa madalali wa magari mtaani. Ukifanikiwa kupata hizi rim za chuma ni bori kuliko hizo sports rim.

Labda nikuulize unataka size gan?
Size 16 za nissan x-trail

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chrome rims

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Rim za chuma zinaongeza uzito kwenye gari na maumivu yanakuja kwenye matumizi ya mafuta ya gari husika ingawa zinadumu sana.

Alloy rims ni nyepesi na zinapunguza matumizi ya wese kwa gari husika ingawa zinapasukaga kama utaendesha gari roughly...Alloy ni mchanganyiko wa udongo na chuma.
 
Back
Top Bottom