Habar zenu wapendwa katika Tanganyika??
leo nimeona bora niwapashe ugumu wa kuzuia bidhaa feki na bandia kwenye bandari zetu.
Kwanza kabisa naanza na bandari kavu ambaz kimsingi ndio kinara wa upitishaji wa mizigo hii na lawama nyingi zimekua zikienda kwa shirika la viwango na TFDA.
Kimsingi...
Sina taarifa za ndani sana,lakini kwa nijuavyo mimi hii ishu kuwa chini ya polisi ni kukurupuka tu,polisi wangeratibu tu kuwakutanisha na wahusika ili wazungumze waelimishe wajitambue watulie.
Mtu akipewa nafasi ya kuzungumza yaliyo moyoni mwake na hasira zinapungua lakini si kwa namna...
Baada ya matokeo ya kidato cha Nne kutangazwa, Mkoa wa Tanga umefanikiwa kuwa na shule mbili. Kwenye shule mia zilizofa nya vizuri.
Na pia imetoa shule 23 kwenye shule mia moja bora za mwisho
TAnga itakua imetoa idadi kubwa ya shule zilizofanya vibaya.
Tanga kunani huko...
Habari zenu wana jamiiforums?.
Nikiwa katika pita pita zangu nilikutana na jamaa zangu wanaofanya kazi za kutoa mizigo bandarini,katika kuongelea ugumu wa shuhuri yao hiyo ni kuwa kikwazo kikubwa wanachokipata ni kutoka kwa taasisi ambazo zina udhibiti wa ubora wa bidhaa hizo kama vile TFDA,TBS...
Habari zenu wana jamiiforums.
Leo nimeamua kufunguka kile ambacho takribani miezi 3 nimekua nikiota.
Nimekuwa nikiota au NiKimuota DR SHEINI Kuwa ndie raisi ajae wa JMT.
Kimsingi ndoto yangu imekua ikijielekeza kabisa kwenye shughuli ya ukaguzi wa gwaride la majeshi yetu ya MUungano...
Tatizo la DAr ni umwinyi mwingi
Wangekuja mitaaa yetu jeuri waone mziki wake,jana tulishaweka zana zetu mezani kwamba waguse tu kitaaaa waone mziki .........
Dada ff kwanza habari za asubuhi?..
Huyo bwana asikuchanganye hao vibaka tu mbwa mwitu wenyewe huwa kuanzia kumi kupanda juu,na wakivamia mtaa wanafunga mtaa,huyo kakutana na watoto wa wayombo wezi wa simu tu,si tunaokaa temeke tunawajua ......
jumatatu ilopita nilikutana nao sita wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.