Recent content by SpraggaBenz

  1. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Je, Israel ya sasa ni Taifa teule la Mungu au ni propaganda tu za kanisa?

    Mie siyo msomaji sana wa maandiko ya dini lakini nimewahi kusikia Yesu toka anatoka mbinguni ilikuwa ni lazima aje afe kama kafara ya utakaso wa dhambi za wanadamu, kwa hiyo swala la wayahudi kumuua sifikiri linafaa kuwahukumu kwalo kwa sababu kama alishushwa Israel tutegemeeje angetimiza hiyo...
  2. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wanapenda zaidi magari ya Japan kuliko ya Uingereza?

    Ndio soko lilivyo.Kwa mfano rahisi no kufananisha pick up za Toyota Hilux na Vox Wagon Amarok,hizi gari hazifanani hata kidogo kwa stability speed wala conformability, amarok ni zaidi ya gari! Lakini sokoni ukinunua hilux mbili ni bei ya amarok tatu,watanzania hawazinunui kwa wingi kwa ajili ya...
  3. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Mimi Mchawi & Ndiye Niliyezamisha Meli Ya Mv Spice Islander-Bint

    Mwenye kuamini aamini na asiyetaka aache lakini huo ni UONGO wa waziwazi,nilishakwenda kwenye kanisa la mchungaji huyo enzi za ubungo,kulitokea mtu aliyedai kamuua sokoine na waliahidi watamrudisha hadi Leo,Amina Chifupa naye hajarudi hadi kesho!!!! Kuna haja ya kuendelea kuamini drama hizo...
  4. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    Internal weakness and failure! Huyu mganda mwehu kabisa,hayo Maneno aliyachagua kwa kuzingatia vigezo vipi? Jumuiya hadi shirikisho haliwezi kwenda popote bila Tanzania. Itakuwa ni sawa na gari bila breki,Kagame,Yoweri na Uhuru wote ni viongozi wenye jazba na ubinafsi,hawawezi kudumu na...
  5. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Padri Mapunda: Siogopi tindikali, kung'olewa meno au kupigwa risas, Ccm watang'oka 2015!

    Huu ni uozo wa fikra mahali Fulani,kama Padre anaongoza binaadam wanaostahili kulindwa na serikali yao,na serikali haitimizi wajibu wake kwa wananchi unategemea hawa viongozi wawaambie nini waumini wao? Msikurupuke kuongea mkumbuke hawa viongozi wa dini wamelalamika sana kwa hii serikali kuhusu...
  6. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Mzee Farijala wa CCM Amshambulia Dkt. Charles Kitima

    Ni msomi gani huyo mwehu? Yuko chuoni au chooni? sijaelewa vizuri,maana iko wazi sana wanachama wa CCM ndio wanaobebwa kwenye mafuso kwenda kupiga kelele kwenye mikutano baada ya hapo wanarudishwa na vizawadi vya kitoto wakati huo wanachama maskini wa CDM wanachangia chama! CCM ni chama cha...
  7. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Mzee Farijala wa CCM Amshambulia Dkt. Charles Kitima

    Mwasisi wa Taifa hili aliwahi kuonya kwamba hatopendezwa kama chuo kikuu cha DSM kitatoa wasomi akina ndio bwana(yes sir) kwa kila jambo.Elimu lazima ikuweke huru vinginevyo inakuwa hakuna tofauti ya wasomi na mambumbumbu.Kinachoiua CCM ni kuendekeza makada waliojichokea kama Farijala,hawana...
  8. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Tukio la Arusha: Rais Kikwete akatiza safari ya Kuwait

    Asingetoa tamko hakuna ambaye angemshangaa kwa sababu matamko yake yamekuwa dhaifu mno na yasiyotekelezeka. Asingekatisha ziara pia isingekuwa ajabu kwa sababu sio mara ya kwanza.Hata hivyo nampongeza kwa uamuzi huo japo ziara imekwisha.
  9. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yamrejeshea ubunge Aesh Hilal wa CCM

    Kuna aliyewahi kutarajia tofauti na hivyo?
  10. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    Hilo vuvuzela lisikutabishe halina mwelekeo wakatoliki wamesoma shule hawashindwi kuandika neno KATOLIKI wala KIPAIMARA hilo zuzu halijitambui kabisa.
  11. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    Huyu mwislamu dhaifu aliyelifikisha taifa hili hapa hawezi kuwa serious n tukio hili kamwe tena msitegemee kumuon anaahirisha safari toka kwa magaidi wenzie wakati alivyosikia hili bila shaka alipongezana na magaidi wenzie kwa kufanikisha mipango yao haramu. Watamshangaa sana akiaga anakuja...
  12. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Sijashindwa kuiongoza Tanzania!

    Sasa kama unadhani(kwa upeo wako finyu) kwamba wanaoharibu utaratibu ni maaskofu unafikiri kwa nn Kikwete ameshindwa kuwadhibiti? kama ww tu umelibaini hilo huoni ni uzembe na udhaifu kwa kikwete mwenye kila idara za kijasusi kushindwa kujua hilo na kulidhibiti? kwa hayo unazidi kuonyesha ni...
  13. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Kwani Kikwete sio mdini? na bora hiyo nchi isitawalike tu kuliko kuwafanya wengine mazombi.
  14. SpraggaBenz

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Udhaifu wa rais umehamia kwa spika na job ndugai wake.
Back
Top Bottom