Mpaka sasa elon anatengeneza USD 765 , sawa na TSh 2,000,000 kwa sekunde. Huyo Diamond anatengeneza ngapi kwa sekunde ili tuone kama anakuja kwenye utajiri nambo moja duniani!!!
Issue ni ukishapata followers wa kutosha, unafanyaje ili pesa ianze kuingia? Je pesa inaingia bank moja kwa moja? Vigezo gani vinatakiwa ili nianze kupewa pesa? Na je Taarifa zangu za bank account nk. Naziweka sehemu gani? Na je kuna taratibu zingine za kikanuni/kisheria za kukamlisha kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.