Recent content by Spinozist

  1. Spinozist

    JamiiForums Tanzania Ndoto unazoota huenda ni onyo na tahadhari juu ya kinachokuja kukutokea kwenye maisha yako yajayo usizipuuze

    Kwa mtazamo wa kisayansi, ndoto ni matokeo ya shughuli za ubongo wakati wa usingizi, hasa katika hatua inayoitwa REM sleep (Rapid Eye Movement). Katika kipindi hiki, ubongo huwa na shughuli nyingi karibu sawa na hali ya mtu akiwa macho. Sayansi inaonyesha kuwa ndoto zinaweza kuhusiana na...
  2. Spinozist

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ya uchawi yapo kweli au ni tatizo la watu kukosa elimu na kuamini mazingaombwe ? kila nikiomba ushahidi ni stori za vijiweni bila ushahidi

    Timu gani kutoka Mwanza imefanikiwa kuchukua Kombe la Ligi kuu ya Tanzania ndani ya miaka 10 iliyopita?
  3. Spinozist

    JamiiForums Tanzania Ukichunguza deeply, unakuja kugundua hata wasioamini katika Mungu wana roho nzuri kuliko hawa fanatics wanaojitapa kumjua Mungu vizuri

    Misingi ya DINI zote ipo katika Ukabila (Tribal Beliefs) na kwakuwa Binadamu ni kiumbe kishindani (competitive) matokeo yake ni kwamba kila jamii yenye taratibu zake za kikabila hujiona bora kuliko jamii jirani yake, pia hujiona kuwa inastahili zaidi kumiliki rasilimali kwa ajili ya "Survival"...
  4. Spinozist

    JamiiForums Tanzania Mpaka siku muafrika aachane na mambo ya dini, ndio siku atakayoendelea

    Wanasiasa wanaingia makanisani na misikitini kuowaomba watanzania walifanyie maombi taifa la Tanzania wakati huo wameshaiba mabilioni ya fedha. CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338
  5. Spinozist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna muda mtu akiniuliza “ntaoa lini?” Kichwani kwangu naona ni sawa na mtu anayeniuliza "Ntapoteza furaha yangu lini?"

    Ongezea hapo na wale wapenda kutoa ushauri kwa watu from nowhere yani na hata hajaombwa ushauri.
  6. Spinozist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Tunaishi katika dunia ambayo si lazima mtu afanye ngono ili aweze kuzaa. Maendeleo ya teknolojia kama vile In Vitro Fertilization (IVF), uchangiaji wa mayai (egg donation), na uchangiaji wa mbegu za kiume (sperm donation) yamebadilisha kwa kiwango kikubwa dhana ya ndoa na uzazi. Kwa mtazamo wa...
  7. Spinozist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Ndoa ni Taasisi. Taasisi Imara inajengwa kwa Mikakati Thabiti ya Kimaisha. Mambo ya Bikra yalikwisha kupitwa na Wakati.
  8. Spinozist

    JamiiForums Tanzania Wasioamini uwepo wa Mungu wasibezwe, ila nao wasituone sisi tunaoamini kama tumechanganyikiwa

    Hivi ni kwanini Mtu akiamini kwamba Binadamu anaweza kupaa kama ndege anaonekana kuwa amechanganyikiwa, ILA mtu akiamini kwamba NYOKA anaweza kuongea wanasema hajachanganyikiwa bali yeye ni mkristo, au muislamu mtiifu.
  9. Spinozist

    JamiiForums Tanzania Mada ya ki intelejesia: Je ni dini ndani ya uchawi au ni uchawi ndani ya dini?

    Dini na Uchawi vyote kwa pamoja Chanzo chao ni kimoja. Vyote vilianza kama ibada ndogondogo (small ritual practices) ambazo zilihusisha Imani juu Kiumbe aliyejuu ya Uwezo wa jamii ambaye iliaminika ndiye msababishi wa matukio yanayojitokeza kwenye mazingira wanayoishi wanajamii. Baada ya...
  10. Spinozist

    JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

    Kwa wale wanaosema kwamba ushoga ukionekana ni jambo la kawaida utahamasisha vijana wa kiume kuwa mashoga zaidi na zaidi, hii siyo kweli. Nchi ya Ufaransa iliondoa sheria za kuadhibu mapenzi ya jinsia moja mwaka 1791 wakati wa French Revolution, na tangu hapo suala hili halihesabiwi kama kosa...
  11. Spinozist

    JamiiForums Tanzania Unga wa muhogo na usembe ni dawa za kuwaona wachawi

    Hembu ukajielimishe kupitia hii video huko youtube: https://youtu.be/-wCfTAa-w4Y?si=X3_rHUbdyvuRnupL
  12. Spinozist

    JamiiForums Tanzania Wanaosema uchawi uko Afrika tu wanahitaji kuelimishwa zaidi

    Uchawi ni dhana potofu. Ni vizuri watu wakajielimisha na kuacha upotoshaji. Zamani watu walifanya matambiko wakiamini yatasaidia mvua kunyesha. Mvua zilinyesha si kwasababu tambiko lisababisha mvua kunyesha, kwani Mvua hunyesha kwa kufuata taratibu za kiasili (natural water cycle), hili lina...
  13. Spinozist

    JamiiForums Tanzania Mama Dorothy Gwajima suala la ushoga hulioni? Mbona linazidi kushika kasi? Umenyamazishwa?

    Mimi si SHOGA mkuu. Hayo maelezo niloweka ni maelezo kutoka kwa wanazuoni wa ukristo wa kale, sina shaka kwamba wewe sio mwanazuoni. Mbona hicho kifungu ulichokinukuu hakina neno USHOGA, au USAGAJI?
  14. Spinozist

    JamiiForums Tanzania Mama Dorothy Gwajima suala la ushoga hulioni? Mbona linazidi kushika kasi? Umenyamazishwa?

    Hivi kwani mashoga wakiwa wanafanya ya kwao, wengine ambao siyo mashoga huwa wanaathirika vipi na vitendo vya mashoga? Mfano: Mashoga wapo Nyumba A wanafanya ya kwao, watu wengine waliopo Nyumba B ambayo ipo zaidi ya kilomita 1,000 kutoka Nyumba A wanaathirika vipi?
Back
Top Bottom