Recent content by Spinoza

  1. S

    Makundi Haya Yakiamua CCM Itang'oka 2015

    Binafsi nakubaliana kundi la 1 coz nimekutana na kundi hili sana. Mkuu, hawa jamaa wanafanya kampeni za chnichini lakin impact n kubwa kwa ccm watu wengi wanaoelezwa ubaya wa ccm na kundi hili na hasa umuhimu wa changes for sure ccm kwishne!
  2. S

    CHADEMA yanasa mbinu chafu za RC wa Arusha kuwatumia madereva Noah kuandamana

    Kwa hata hao waandamanaji wa noah nao watapigwa kama alivyoagiza Pinda?
  3. S

    CHADEMA inapendwa jamani

    Ukweli ni kwamba umefika wakati wa mabadiliko, haijalishi mbunge au diwani aliyepo ku garantee kupendwa ccm ni kwamba cdm inaibuka zaidi sas kwa watz weng ispokua M4C iliamsha sana kupendwa cdm coz ukipita sehem nyingi tis cdm, kwenye mabasi au daladala safari haikwishi bila kutajwa cdm na uzee...
  4. S

    Hongera serikali kwa TSCP

    Yan wew umeingia Arusha na DAR EXPRESS ukalala ndani ya basi ndo unatoa comment eti bajeti za kiwi zmepungua, ungetembea kdogo ucngeandika hapa au vumbi kwako ni manukato?
  5. S

    Zitto Kabwe kwa OBAMA: Tunataka Uwazi wa Mikataba. Omba radhi Kwa mauaji ya Lumumba

    Mh. Zitto hana jipya wala uzalendo wowote, hv kwanza yupooo au?? Obama akishaomba msamaha wa mauaji ya Lumumba what next for the Tanzanians? Mbona Zitto anashangaza? Atuambie kwanza ccm wamempa nn cha maana kiasi cha kua kimya sana hasa kwny issues za kuhujumiwa kwa cdm, leo hii anaibuka na...
  6. S

    FBI Watua Arusha kwa ajili ya upelelezi wa bomu mkutano wa CHADEMA

    Tanzania eeee! Yani hii inaonyesha ni jinsi gan utawala wa Tz ni m bovu kupindukia!
  7. S

    Ushuhuda: Namna CCM inavyofanya ugaidi nchini

    For sure, no situation is permanent...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! NYINYIEMU BYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE 2015!!!!!!!
  8. S

    Chadema yazidi kung'ara vyuoni

    Viva cdmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom