Recent content by SPINE

  1. SPINE

    JamiiForums Tanzania Full Time: NBC PL | Singida BS 0-3 Young Africans | Airtel Stadium | 05/03/2026

    Wachezaji wa Yanga wamepoteza ule mchezo wao wa kasi na pasi zenye macho, ni kama wamechoka sana. Kocha kaishiwa mbinu, benchi lina kikosi kikubwa
  2. SPINE

    JamiiForums Tanzania Full Time: JKU 0 - 1 Yanga SC | Fainali Kombe la Muungano | Mei 1, 2025 | Yanga Bingwa

    Wachezaji wengi wa Yanga wanacheza kitozi
  3. SPINE

    JamiiForums Tanzania FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

    Players uwezo mdogo, na kocha hana mbinu....hapo inabaki kushinda kwa bahati.
  4. SPINE

    JamiiForums Tanzania FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

    Kocha mwenyewe amechemka, hana wachezaji wa kufanya hayo mabadiliko
  5. SPINE

    JamiiForums Tanzania FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

    Novatus hiyo nafasi aliyopewa imempwaya
  6. SPINE

    JamiiForums Tanzania FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

    Wakiwa kwenye klabu zao wanaonekana dhahabu, wakiitwa timu ya taifa hakuna kitu
  7. SPINE

    JamiiForums Tanzania FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

    Imefikia hatua watanzania tumezoea, lolote lile sawa tu maana hatuna timu yenye kutupatia uhakika wa ushindi
  8. SPINE

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

    Kupata kazi ni kazi kama kukosa kazi
  9. SPINE

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Michezo Tanzania acheni Unafiki na Upuuzi

    Waandishibwa habari wa michezo wana changamoto ya kuwaza namna ya kuuza habari kuliko uhalisia wa habari yenyewe. Mchezaji atapewa sifa nyingi ila kiuhalisia ni wa kawaida tu.....tuna safari ndefu
  10. SPINE

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Samatta anaruka ruka tu
  11. SPINE

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Timu haina SHOT ON TARGET
  12. SPINE

    JamiiForums Tanzania FT: Niger 0-1 Tanzania. Kufuzu Kombe la Dunia. Novemba 18, 2023

    Hawa ndio makocha wa kutimua
  13. SPINE

    JamiiForums Tanzania FT: Niger 0-1 Tanzania. Kufuzu Kombe la Dunia. Novemba 18, 2023

    Samatta utozi mwingi sana......kwa timu ya taifa Kibu Denis ni mzuri kuliko Samatta
  14. SPINE

    JamiiForums Tanzania FT: Niger 0-1 Tanzania. Kufuzu Kombe la Dunia. Novemba 18, 2023

    Hakuna kitu kabisa, uwezo mdogo sana
  15. SPINE

    JamiiForums Tanzania FT: Niger 0-1 Tanzania. Kufuzu Kombe la Dunia. Novemba 18, 2023

    Wanakosa magoli ya wazi sana
Back
Top Bottom